Natafuta Mwalimu/ chuo kizuri Cha KUNG FU/KARATE

Krav Maga ndo kila kitu.. kung fu ushachelewa hapo maana hata msamba huwezi tena viungo vimekomaa.

Uzuri wa krav maga haina formula ya kupigana. Ila unatakiwa uwe na confidence na mwili uwe strong.

Krav maga unatumia mpaka ufunguo kupigana.. mfano; unaweza kumchoma mtu ufunguo wa pua, au unampiga ufunguo wa jicho. Au unapiga kitovu au mapumbuu ..

Na sifa ya krav maga ni kwamba ni shambulizi la kushtukiza na la haraka. Hauna haja ya kupigana na mtu madakika just 10 seconds and you are done adui ushammaliza
 
Back
Top Bottom