Natamani kuwa karibu sana na huyu dada lakini nashindwa

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Habarini wakuu,

Kuna dada mmoja mzuri sana shombeshombe tunakaa nae mtaa mmoja. Ameamia hivi karibuni, anaishi mwenyewe. Nimetokea sana kuvutiwa nae, angalau niwe karibu nae, tuwe tunabadilisha mawazo, nimtoe hata outing chache.

Kila nikijaribu kumzoea nashindwa zaidi ya kumsalimia basi, nashindwa nimuingie vipi ili ajue nataka niwe karibu nae tuu hata kwa stori tuu.

Nifanyeje wakuu? Nahitaji mawazo yenu, najua kwenye hili jukwaa la Ma-Great Thinkers hapashindwi kitu
 
Wkt wewe unatamani kumuongelesha kuna msela huko alipo kila akiona missed calls/sms za huyo manzi anafyonza na kukata simu/hapokei.

That's fuckin' life.
Life is cycle!
Mambo ya mapenzi ni kitendawili sana..na wakat mwngn huyo dada atakua ana huzunika vya kutosha kuhusu huyo msela ila huku kwngn anawindwa na mwngn anayehuzunika juu yake! Na huyo msela naye kuna dem atakua anamzingua kumpata na block kapewa
 
Back
Top Bottom