MUHIMU: Nimeipenda hii toka mtandoani

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,640
697,994
*MUHIMU*```
Kuna siku marafiki tutatengana hatutaonana tena wala kuwasiliana.

Wengine umri utakuwa umeenda sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.

Tutakumbuka tulivyokuwa tunachat tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana na kushirikiana tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu tukikimbizana huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.

Labda bado tutakuwa na picha za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.

Watoto na wajukuu zetu watatuuliza
"Ni kina nani hawa?"

Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao"

Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!

Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.

Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.

Onyesha upendo na moyo wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.

Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako

Tunza picha zake kwa bidii

Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo ni kitu cha thamani sana!!

_Mkumbushe_ _kila_ _unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati_ _vizuri_.

```Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema```
 
Shikamoo Mshana Jr

20190829_174418.png
 
Nakupenda sana joanah siku nikiwa sipo tena.. Kumbuka kwamba Mshana Jr bila kificho tena mbele ya kadamnasi alitamka kwa mdomo wake na bila kushurutishwa wala kushawishiwa na yoyote wala chochote kuwa anakupenda wewe joanah na alitamka bila hiyana wala mawaa

Hadi nimerudi kuusoma uzi wako manake haikumeki sensi kwamba fromu no wea uniandikie hivi

Nakupenda pia Mshana Jr ...nakupenda kuliko hata unavyojua umewahi kupendwa ♡♡

Salamu zangu za upendo ziende pia kwa yoyote atakayesoma hii post...najua siku moja nitapotea kabisa humu JF
 
Hadi nimerudi kuusoma uzi wako manake haikumeki sensi kwamba fromu no wea uniandikie hivi

Nakupenda pia Mshana Jr ...nakupenda kuliko hata unavyojua umewahi kupendwa ♡♡

Salamu zangu za upendo ziende pia kwa yoyote atakayesoma hii post...najua siku moja nitapotea kabisa humu JF
Salamu zangu za upendo ziende pia kwa yoyote atakayesoma hii post...najua siku moja nitapotea kabisa humu JF... Wakati si milele... Majira huja na kupotea lakini upendo wa kweli upendo ule wa agape.. Upendo wa Masiha Kristo Yesu hauna mipaka na hudumu milele... You are truly loved
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom