Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,357
- 62,604
Siku moja nilikuwa safari katika mji fulani, nikafikia kwenye hoteli moja Y.Baada ya kulipia chumba nikaona bora kwanza nioge ili kupunguza uchovu;nilipotazama kwenye meza pale chumbani nikakuta kuna kipeperushi/business card ya kampuni fulani wakijitangaza kutoa huduma ya massage popote pale ulipo.
Kutokana na uchovu wa safari,nikawapigia simu...akapokea dada mmoja mwenye sauti laini,nikajikuta namwambia nahitaji huduma yao;na nikamwelekeza sehemu nilipo...na baada ya dakika 15 akawa amefika.Baada ya nusu saa akawa amemaliza kazi yake,akanichaji Sh. 65,000/=,baada ya yeye kuondoka nikajiuliza mbona kama ela yangu imepotea bure.
Ndipo nikagundua wanaume wengi tunapoteza fedha kwa vitu vya ajabu ajabu