Kwanini usaliti umekithiri sana katika ndoa miaka hii?

Joined
Sep 5, 2019
Posts
89
Reaction score
73
Habari za asubuhi.

Nimekaa zangu hapa nimejinywea chai yangu na mihogo /malala chini/ mato.....mba aridhi.

Basi baada ya kushiba ipasavyo, kuna kawazo kakanijia hapa kichwani mwangu nikajiuliza " MBONA SIKU HIZI USALITI UMEKITHIRI SANA NDOANI?"

nikawazaaaaaa
Nikakosa jibu.

Nilichoamua kufanya Ni nikuchukua simu yangu na kufungua app ya JF, uyoooo moja kwa moja kwenye jukwaa la MAPENZI, uyoooo nkaanza kuchapa haka ka Uzi.

TATIZO NININI HASA??
 
Sikuiz limekuwa jambo la kawaida tu
 
Matumizi mabaya ya vyombo vya mawasiliano vya kisasa, leo hii huhitaji kusimama na mke wa mtu, mnapena tu namba ya chumba,,, ni hatari mkuu
 
Sababu ni nyingi,inaweza kuwa kiuchumi au kuridhishana
 
Tatizo ni Beijing, usawa. Tangu wanawake waende beijing nao wanataka usawa. Usaliti ulikua unafanywa na wanaume tu kabla hawajaja na usawa nao wameamua kutom. Bwa nje.
 
Niko kwenye hice ikisimama nitachangia mjadal
 
Habari za asubuhi.

Nimekaa zangu hapa nimejinywea chai yangu na mihogo /malala chini/ mato.....mba aridhi.

Basi baada ya kushiba ipasavyo, kuna kawazo kakanijia hapa kichwani mwangu nikajiuliza " MBONA SIKU HIZI USALITI UMEKITHIRI SANA NDOANI?"

nikawazaaaaaa
Nikakosa jibu.

Nilichoamua kufanya Ni nikuchukua simu yangu na kufungua app ya JF, uyoooo moja kwa moja kwenye jukwaa la MAPENZI, uyoooo nkaanza kuchapa haka ka Uzi.

TATIZO NININI HASA??
Mitandao bossy
 
1. Wanaume hawajui wajibu wao ktk ndoa
2. Wanawake hawajui wajibu wao ktk ndoa
3. Jamii ya inayotuzunguka haitupi malezi ya kuishi ndoani
4.Utandawazi
5.CCM
 
Habari za asubuhi.

Nimekaa zangu hapa nimejinywea chai yangu na mihogo /malala chini/ mato.....mba aridhi.

Basi baada ya kushiba ipasavyo, kuna kawazo kakanijia hapa kichwani mwangu nikajiuliza " MBONA SIKU HIZI USALITI UMEKITHIRI SANA NDOANI?"

nikawazaaaaaa
Nikakosa jibu.

Nilichoamua kufanya Ni nikuchukua simu yangu na kufungua app ya JF, uyoooo moja kwa moja kwenye jukwaa la MAPENZI, uyoooo nkaanza kuchapa haka ka Uzi.

TATIZO NININI HASA??
Sababu ya dini na sheria mbovu za ndoa.
 
Back
Top Bottom