Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,269
- 40,069
Nawauliza nyie wadada...kwa nini mnapokuwa kwenye mahusiano kabla ya kuolewa huwa mnatoa ushirikiano mzuri,sarakasi za kila namna mpaka mwanaume anashawishika kukuweka ndani.Lakini baada ya kuishi kwenye ndoa zile sarakasi na kachumbari za hapa na pale zinakuwa hazipo.Ni kwa nini mnafanya hivyo? Au kwa sababu ulichokuwa ukikihitaji unakuwa umeshafanikisha?