Umasikini ni mzigo mzito sana
Sio huyu? BehaviouristSHIMBA YA BUYENZE mambo yako
Wote hao mambo yaoSio huyu? Behaviourist
wewe 1 in million aisee wanaume wengi wanavutiwa.Sipendi wanawake wenye chura yan nikiwaona hata hawanivutii kabisa
Sipendi wanawake wenye chura yan nikiwaona hata hawanivutii kabisa
Mkuu Sio wote wanaopenda ingekuwa ndio hvyo hawa wanawake wenye pass& flat wasingeolewawewe 1 in million aisee wanaume wengi wanavutiwa.
Mkuu unataka kusema sifa ya mwanaume ni kupenda madem wenye chura tuu??Bila ya shaka, tuna shaka na ujanadume wako
Wale wanaolewa kwa sababu inasemekana hawasumbuliwi sana na wanaume halafu waume zao ndio wannaaongoza kwa kuchepuka.Mkuu Sio wote wanaopenda ingekuwa ndio hvyo hawa wanawake wenye pass& flat wasingeolewa