Ilikuwa ngumu sana kutoka kwenye chama pendwa chaputa nilijarib mara nying sana ila niliishia kurudi chamani sasa yapasa miez 7 sasa nimetoka chamani nipo huru sasa
Watu wanaaminishana kuwa...
Mwanaume aliekamilika hapaswi kuivumilia tabia mbaya ya mpenzi au mke wako anayoirudia rudia mara nyingi ukiamini ipo siku atabadilika. Acha uboya mzee kama analeta dharau au matusi muonye mara...
Zilipita sekunde, dakika, masaa, siku, miezi na hatimaye miaka sasa tangu niachane na mwanamke niiyependana naye sana. Baada yake nimekuwa na mahusiano mengine kadhaa ambayo hayakuwa na msingi wa...
Sijui ni kampeni ya wanaume ya kuwapiga warembo mimba na kuwaacha kwao au nini, sijaelewa.
Siku hizi mabinti wengi warembo wamezalishwa na wako kwao, nashindwa kuelewa, hawa warembo hawana sifa...
Habari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua...
Napenda kuwashukuru wana jf kwa ushauri wenu, pamoja na kwamba kuna watu ndani ya jf, wapo kwa ajili ya kupotosha na kukejeli na wao pia nawashukuru sana na Mungu awabariki. AMEN.
NIKIRUDI KWENYE...
Siku ya leo mbaya sana kwanza, kuwahi kutokea, yaani imekua mbaya mpaka ikaaribu na hali ya kesho.
Kiufupi nilikutana binti mmoja, ambae amemalza form 6 mwaka huu, nikampenda + kumtamani, ana...
Nyie acheni tu. Ni bora ushikwe na kichaa kuliko kushikwa na mke wa mtu; Ni bora ushikwe na Malaria kuliko kushikwa na mke wa mtu.
Ilikuwa Jumapili, mwanenu, siku hiyo nimeamka mapema mithili ya...
Mimi ni yule dada niliyetoka out na kaka wa Kitanga....
Hivi swali langu ambalo nililokuwa najiuliza kwa nini huyu kaka anapenda kumtumia shemeji yangu na kuniulizia kama naendeleaje, au kama...
Mambo vipi wakuu,
Jamani naombeni ushauri ni deal vipi na huyu mtu.
Mke wangu ananilazimisha kununua nyumba na uwezo wa kununua nyumba sina imekua ni kero la kufa mtu silali usiku kwa Ppessure...
Unajisikiaje pale unapoenda kumtembelea mtoto wako uliyezaa na x na kutokana na sababu ambazo hazikuweza kuzuilika ukajikuta hauwezi kuishi na mzazi wake pamoja na mtoto. Unamkuta yuko...
Ivi inakuwaje siku hizi mabinti wengi mkishaanzisha uhusiano nao kwa muda mfupi wanaanza kufosii ndoa unakuta mtu uhusiano wenu hata mwezi haujaisha binti anataka uende kwao ukajitambulishe ...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Habari wadau.
Nimekaa na wana hapa maeneo ya "Ujinga Hauishi".Mara akapita mtoto mkaliiiiiiiii wuuuuuuh!!!!!!Kama ilivyo ada,wadau tukathaminisha vima...
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.
..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar
1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute...
Katika maisha yangu naskiaga tu na kuona baadhi ya wanaume wenzangu wana marafiki wa kike "just friends". Mimi sijawahi kuwa na rafiki wa kike eti "just friends" maishani mwangu.
Tatizo langu...
Kabla sijaandika kitu chochote naomba nieleweke kwamba sio kwamba nalalamika kukutana na binti mwenye kifafa ila ninacholalamika kwanini hakuniambia mapema ili nijue na ili nijipange na yajayo. OK...
Kwanza kabisa naomba kuwauliza wanaume wenzangu, hivi raha ya vibonge iko wapi au labda niliokutana nao mimi watakuwa na kasoro zao tu kama binadamu wengine...
Vibonge wengi mazingira ya usafi wa...
Ilikua miaka ya 2015 kama sikosei hivi, niliamua kujitosa JF baada yakuchoka kutumia social networks za mbelembele ambazo wabongo wengi hawazijui. Networks kama mocospace, mopilot na zinginezo...
Habari wanaJF
Hizi ni zangu salamu,Salamu zitokazo ndani ya Uvungu wa Moyo wangu,
NB: "Mimi sio mwandishi mzuri,Kama hautaelewa ruksa uliza"
HUU NI UTAFITI WANGU MDOGO KUTOKANA NA YAKE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.