Je hii ni sahihi/ halali

Je hii ni sahihi/ halali

Black BackUp

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
773
Reaction score
736
Kwa maadili ( mila na desturi) za Kitanzania.
Mtoto wa kike anaweza kumnunulia mzazi wake wa kiume(baba) nguo za ndani (chupi/boxer)?
 
Maadili ya kitanzania nayo yana sections na dependency. Kuna maadili ya kihaya tofauti na maadili ya kizaramo au ya kimakonde. Kuna maadili ya watanzania wenye asili ya asia tofauti na maadili ya wamasai.

Watanzania wenye asili ya masaki LABDA wanaweza ila kwa watanzania wa asili ya masasi ni ngumu kidogo
 
Kwa maadili ( mila na desturi) za Kitanzania.
Mtoto wa kike anaweza kumnunulia mzazi wake wa kiume(baba) nguo za ndani (chupi/boxer)?
inategemea mtoto kalelewa vipi katika familia ka alilelewa kuona chupi ni ka nguo nyingine ya kawaida hawezi ona ajabu ku nunua na kumpa mzazi wake ila ka amelelewa katika maisha chupi ikifuliwa unaenda kufichwa ndani hawezi kufanya hivyo
 
Inawezekana kabisa ila ni kwa wale tu ambao waliona/wanaziona chupi za wazazi wao zimeanikwa nje na kupita chini yake huku wakidondokewa na maji ya chupi hizo wakati hazijakauka.
 
Back
Top Bottom