Ushauri kwa wanaume, wanawake za watu wanahitaji sex kila siku ili wasichepuke

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Habari za Siku nyingi hapa Jf

Nimepotea kwa muda mrefu kiasi kwa sababu ya majukumu na kakala za maisha ya hapa jijini, lakini kwa muda wote huo takribani miezi 8 mpaka 10 nimefanikiwa kutoka na wanawake wengi wa aina tofauti tofauti kama vile wake za watu, wanafunzi wa vyuo, mabamedi, fresh from school wanaotafuta mabwana na single mother pia sikuwasahau

Kubwa lililonifanya niandike ushauri huu kwa wanaume wenzangu ni hawa wanawake walioolewa
Hawa wanawake na ndoa zao wamejikuta na changamoto nyingi sana mpaka kufikia namna ya wao kuchepuka ili kuweza kukidhi haja za miili yao kingono
Kiukweli wanawake walioolewa na wanaoishi na wanaume zao wanahitaji sana sex kila Siku, ukiwaacha tu Siku chache free bila mkuyenge watatafuta wa kuwakuna tu huko nje

Hivyo ewe mwanaume inatakiwa uhakikishe kila Siku iendayo kwa Mungu, kama mwanamke wako ni mzima wa afya na hana matatizo yao ya period na Kubread ni vema upige bao hata moja kabla ya kulala ili kumlinda asiwe na tamaa za kuchepuka

Wanawake za watu wa3 niliofanikiwa kuwala wrote wananiambia mabwana zao wavivu mno, hawawakuni kila Siku na vya kutosha ndio maana wanachepuka
 
Kuchepuka ni hulka ya mtu tu. Huyo anahitaji sex machine na sio binadamu. Mwanamke unaweza ukamkojoza sahivi baada ya nusu saa anataka Tena na Tena. Ile kitu huwezi kuitosheleza kimwili isipokuwa mwanamke utamtosheleza kisaikolojia.
NB: Mke wangu namtimizia kila akihitaji hata Mara tano kwa siku ili mradi tuwe na nafasi
 
Binafsi napenda wanawake wa hivo maana taendana nao kabisa...

Maana mahusiano niliyonayo naona yatatia nanga nmechoka sex ya kuhesabiwa mimi...

Nawataka wanawake wa hivo
 
Watafitiii wanasemaa asilimiaa 97% ya wanawake dunianii huolewaa na wanaumee wasiowapendaa
Kwahiyoo basii wanaumee tunawapendaa wake zetuu lakinii wao hawatupendii waliwapendaa wenginee ilaa yupo kwako kwa heshima ya ndoa tu kwahiyoo uchepukajii ni swalaa endelevuuuu
 
Umedanganywa sana, huwa ni excuse tu ili usimuhisi vibaya
Hata wanawake hutamani mambo mapya maumbo mapya ladha mpya style mpya miguno mipya harufu mpya now and then.
 
Watafitiii wanasemaa asilimiaa 97% ya wanawake dunianii huolewaa na wanaumee wasiowapendaa
Kwahiyoo basii wanaumee tunawapendaa wake zetuu lakinii wao hawatupendii waliwapendaa wenginee ilaa yupo kwako kwa heshima ya ndoa tu kwahiyoo uchepukajii ni swalaa endelevuuuu
Possible.Kuna manz mmoja kaolewa ila bado sijamtoka akil mwake.Sasa sijui na huyu wa kwangu akil yake iko wapi ..kwangukwel au somewher else??!!
Kaaaaazz kwel kwel
 
Kama umeshawahi kuishi na mwanamke utagundua kwamba huwezi fanya mapenzi kila siku i.e 30 kila siku unakula mzigo hio haipo ila kisaikolojia mwanamme inabidi ufanya nae mapenzi kwa wiki siku 3 au siku 4 ukifanya hivyo kwa mtu unaeishi nae hakutakua na ugomvi
 
Habari za Siku nyingi hapa Jf

Nimepotea kwa muda mrefu kiasi kwa sababu ya majukumu na kakala za maisha ya hapa jijini, lakini kwa muda wote huo takribani miezi 8 mpaka 10 nimefanikiwa kutoka na wanawake wengi wa aina tofauti tofauti kama vile wake za watu, wanafunzi wa vyuo, mabamedi, fresh from school wanaotafuta mabwana na single mother pia sikuwasahau

Kubwa lililonifanya niandike ushauri huu kwa wanaume wenzangu ni hawa wanawake walioolewa
Hawa wanawake na ndoa zao wamejikuta na changamoto nyingi sana mpaka kufikia namna ya wao kuchepuka ili kuweza kukidhi haja za miili yao kingono
Kiukweli wanawake walioolewa na wanaoishi na wanaume zao wanahitaji sana sex kila Siku, ukiwaacha tu Siku chache free bila mkuyenge watatafuta wa kuwakuna tu huko nje

Hivyo ewe mwanaume inatakiwa uhakikishe kila Siku iendayo kwa Mungu, kama mwanamke wako ni mzima wa afya na hana matatizo yao ya period na Kubread ni vema upige bao hata moja kabla ya kulala ili kumlinda asiwe na tamaa za kuchepuka

Wanawake za watu wa3 niliofanikiwa kuwala wrote wananiambia mabwana zao wavivu mno, hawawakuni kila Siku na vya kutosha ndio maana wanachepuka

Neno kuridhika limebeba vitu vingi ndani yake hivyo huwezi kumridhisha mwanamke kama yeye mwenyewe hana roho ya kuridhika. Mathalani unaweza ukamkuna kisawasawa lakini ukashindwa kumpa hela ya vikoba lazima ataenda kugongwa nje ili apate hiyo fedha.

Hao uliokutana nao ni malaya kama wengine hizo sababu walizokuelezea ni sababu wanazotumia kuhalalishia matendo yao tu lakini sidhani kama zina ukweli wowote. maana kila afanyaye jambo hutafuta sababu ya kulihalalisha ili aonekane yupo sahihi.

Wanawake hawatabiriki na ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili. wanawake hawaridhiki kwa ngono tu bali pia wanahitaji kuhudumiwa na kulindwa kiuchumi na huo ni wajibu wetu hivyo lazima tukatafute na kutokana na utafutaji wengine huwa tunakwenda mbali na nyumbani (mfano mikoani, nje ya nchi nk)

Nakushauri uoe ili uone kama inawezekana kufanya mapenzi kila siku kama sex machine, ukishindwa na wa kwako naye atakwenda kugongwa nje kisha akiulizwa naye atatoa jibu kuwa na wewe ni mvivu.
 
Kuchepuka ni hulka ya mtu tu. Huyo anahitaji sex machine na sio binadamu. Mwanamke unaweza ukamkojoza sahivi baada ya nusu saa anataka Tena na Tena. Ile kitu huwezi kuitosheleza kimwili isipokuwa mwanamke utamtosheleza kisaikolojia.
NB: Mke wangu namtimizia kila akihitaji hata Mara tano kwa siku ili mradi tuwe na nafasi
Acha ubinafsi mkuu. Mkeo unambania halafu wewe unaenda kwa mchepuko wako.

Mtimizie kwanza mkeo haja zake, wanawake tuna nyege pia.
 
Kama umeshawahi kuishi na mwanamke utagundua kwamba huwezi fanya mapenzi kila siku i.e 30 kila siku unakula mzigo hio haipo ila kisaikolojia mwanamme inabidi ufanya nae mapenzi kwa wiki siku 3 au siku 4 ukifanya hivyo kwa mtu unaeishi nae hakutakua na ugomvi

Ni kweli
Mwanaume atafute pesa,matatizo,kuugua kwa kweli ngono isiwe too much hivyo siku nyingine inapita tuuu banaa
 
Na mwanamke unaeishi nae hua hahitaji hela nyiingi kiivyo unamnunulia iphone 8 plus unamwambia bibie kaa nayo hio..
 
Neno kuridhika limebeba vitu vingi ndani yake hivyo huwezi kumridhisha mwanamke kama yeye mwenyewe hana roho ya kuridhika. Mathalani unaweza ukamkuna kisawasawa lakini ukashindwa kumpa hela ya vikoba lazima ataenda kugongwa nje ili apate hiyo fedha.

Hao uliokutana nao ni malaya kama wengine hizo sababu walizokuelezea ni sababu wanazotumia kuhalalishia matendo yao tu lakini sidhani kama zina ukweli wowote. maana kila afanyaye jambo hutafuta sababu ya kulihalalisha ili aonekane yupo sahihi.

Wanawake hawatabiriki na ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili. wanawake hawaridhiki kwa ngono tu bali pia wanahitaji kuhudumiwa na kulindwa kiuchumi na huo ni wajibu wetu hivyo lazima tukatafute na kutokana na utafutaji wengine huwa tunakwenda mbali na nyumbani (mfano mikoani, nje ya nchi nk)

Nakushauri uoe ili uone kama inawezekana kufanya mapenzi kila siku kama sex machine, ukishindwa na wa kwako naye atakwenda kugongwa nje kisha akiulizwa naye atatoa jibu kuwa na wewe ni mvivu.
Umenena sana
 
Hywezi kumpa mke wako kila siku kama una majukumu mengi plus kuchoka na kazi....
Kikubwa kumtanguliza Mungu tu...
 
Tatizo sii kugegedwa kila siku,ni kwamba mke anakua sii rafiki tena pia anakua sii mpenzi,hakuna kutaniana tena hakuna urafiki kama ilivyo kua mwanzo,hata mkiongea ni kuhusu watoto au miradi hamuongei kuhusu mahusiano yenu mnayo yaona yanayumba,mwishoe kila mmoja anatafuta mchepuko nnje,huko ndiko pa kufanya kitu roho inapenda!
 
Back
Top Bottom