Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Wakuu habr zenu,
Hizi siku nmekuwa adimu sana hasa mambo ya kimaisha sio oficin sio wapi full stress. Since j3 nimepokea taarifa kutoka kwa bint kuwa ni anamimba yangu nikachukulia simple nikaendelea na mambo yangu. Jana ikabid niende nae tukachek ultrasound baada ya kuona she was serious nikajua kwel ipo ya 3 weeks. Hyu bint tumefahamiana mwez sasa na tumekwich mara3 toka tuanze mahusiano.
Me nimemshauri azae but anasema hawez kabsa home hawatamwelewa tena kuzaa na mbongo na pia baba ake ni Katili sana, pili anasoma ana 20yrs kasoro. Ubaya sasa dogo kaanza dalili so kutapika kichefu chefu yani ndo anasumbua balaa analia sana mpaka huruma.
Sina jins inabd atoe tu, miso siziamin sana coz now hazieleweki hazilet matokeo weng zinazingua coz naona hata kwa wana. Naplan nimpeleke hosp tu. Nyie mnaushaurije wakuu....Maon yenu mhm pia nikomae azae?