Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanaume hupenda kuanzia asilimia 100 na kisha kuanza kushuka chini. Mwanamke hupenda kuanzia asilimia 0 na kisha huanza kupanda hadi 100 na ndio maana mwanaume ambaye humfuata mwanamke na...
6 Reactions
22 Replies
14K Views
Nibaada ya long distance relationship yapata miez kama 6 iv tunawasiliana vizurri tu kwa simu leo nimeenda mkoan anapoish huyo bidada nimekaa siku ya kwanza yapil akaniacha kwenda sokon nikafungua...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
PSYCHOLOGY: SAIKOLOJIA DALILI 7 KUWA MKEO ANAHITAJI UMSIKILIZE Wakati fulani kitu pekee ambacho mwanamke anakihitaji ni mtu wa kumsikiliza. Njia maridhawa ya kumsaidia mkeo katika matatizo yake...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu salama Naandika Uzi huu sina raha hata kidogo baada ya huyu binti wa miaka 19 kunitaka nimnyonye papuchi Iko hivi dogo nimemfuata kwao tukaenda lodge ,nimempiga machine ile goli la 3...
8 Reactions
155 Replies
30K Views
wanapenda kuwafanya wale mashoga shoga zao?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mara nyingi yanapotokea mabishano/kutibuana kwa wenza silaha kubwa anayotumia mwanamke ni mdomo na kwa kuwa wanaume wengi hawawezi kuongea hivyo hutumia misuli yao kumdhibiti mwanamke matokeo yake...
15 Reactions
84 Replies
16K Views
Hodi humu jamani Tusaidiane inawezekana mwanamke/ msichana akawa na urafiki na mwanaume/ mvulana wakawa just friends na wasiwe na mahusiano ya kimapenzi? Nimeuliza hivyo kwa sababu yamenikuta...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Mwenzenu naomba ushauri huyu baba mkwe simwelew kabisa Iko hivi Nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana baada ya kukamilisha process zote ikabaki kufunga ndoa tu Ilipofikia mda wa kufunga...
8 Reactions
108 Replies
12K Views
Huwa najiuliza kwa nini mwanaume amewekwa kwenye nafasi ya kumhonga mwanamke ili aweze kutimiza mahitaji yake ya kimahusiano,je ni sahihi kuwa hivyo?Na kwa nini isiwe kinyume chake?Au wanaume ndio...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.! NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang...
2 Reactions
102 Replies
11K Views
Kuna ule msemo wa kiswahili kua usior au kutongoza mwanamke siku ya sherehe kwa sababu siku hiyo kila mtu atakua kapendeza, amevaa vizuri, ananukia vizuri na pia amejiremba vizuri. Sasa mimi kwa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Mke kakuta sms kweny simu yangu. Nimemtumia ndugu yangu ( wa kiume) tsh 12,000/- ( elfu kumi na mbili) Kagomba eti why sijamshirikisha. SERIUS??? kanuna, nami nimekasirika Mara tatu take na...
8 Reactions
67 Replies
5K Views
Hizi ni salamu kwa watu wote wenye tabia hizi, reference ni shemeji yangu. Shemeji yangu tabia yako ya kunipiga vizinga vya mara kwa mara inanikera sana, inanirudisha nyuma. Wewe una ajira yako...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
wapendwa JF's imenipendeza kuwawekea mada nyingine nyeti mezani ihusuyo mambo ya awali kuzingatiwa kabla ya kuingia katika ndoa:- 1.Sherehe ya harusi ni ya siku moja tu na ndoa ni ya maisha yote...
17 Reactions
32 Replies
5K Views
Nina mwanamke mmoja tuko kwenye mahusiano kwa muda sasa, toka awali nilimwambia haya mahusiano ni ya ku-buy time na huyu binti tumekua kwenye mahusiano ya on and off boyfriend and girl friending...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
Kwanini wanawake huwa mnaamini ni kubrash tu juu juu au kichwa tu? Hii hali ya kujifanya kukataa mechi ini kwamba mnakua hamjajipanga kwa gemu au ni usumbufu mwsho wa siku kwenye mechi na...
4 Reactions
100 Replies
15K Views
Mwanamke ambaye anataka tendo kila siku, nyege anazo, mzuka full balaa lakini kila mkifanya aidha hafiki kileleni au anachelewa sana, sasa sielewi hupataje raha, kwa kweli sijapata kuelewa jinsi...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari wadau hapa nyumbani naishi na wazazi mimi namejiari katika biaahara ndogo ndogo hapa kwetu ni nyumba ya familia mimi nakaa mabanda ya uani maana bado nipo katika harakati za kupanga na...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Yes! Wengi wa ex girlfriend/boyfriends hufurahia moyoni waliyetengana nao akiwa mahututi katika mahusiano mapya hasa wadada! Utasikia, "nilisema mie, hawezi akaishi Kwa Amani na mwingine, kama...
10 Reactions
26 Replies
4K Views
wanaume wengi wamekuwa wakikutana na changamoto ya kuchunwa na wanawake ila nataka niwaambie kitu mwanamke anayekupenda hawezi kukuchuna lazima akujali na kuwa nahuruma na hela yako labda Kama...
10 Reactions
64 Replies
10K Views
Back
Top Bottom