Kesho naenda kuoa lakini nina laki 2 tu

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Wakuu ile kukuru kakala na mtoto wa diwani atimae siku ndio imefika,
Baada ya kusota sana central na kulazimishwa kumuoa atimae kesho ndio siku yenyewe,

Kesho ndio siku iliyopangwa nikatoe mahali,
Posa tayari nilitoa 50k kwenye bahasha na tulipangiwa siku ya kwenda na mahali ambayo ni 1.5 milioni,

Mpaka leo hii ninayozungumzia pesa niliyonayo ambayo haina kazi na ndio ninayoweza kuitumia kwenye mahali ni 200k(laki mbili Cash),

Na siku ni kesho Nasubiria ikifika niende nayo nikamkope mtoto wao na hiyo nitoe kama advance tu sijui kama watanielewa,

Cc Zero IQ
 
Hahaha,, sasa we zero usije ukaenda huko ukaambiwa ulipie garama za kuandaa sherehe kama jamaa mmoja hivi kutoka kwenye uzi wake humu kwanza unaenda kuoa Kabila gani tujue mapema
Siwezi kutoboa mkuu
 
Wakuu ile kukuru kakala na mtoto wa diwani atimae siku ndio imefika,
Baada ya kusota sana central na kulazimishwa kumuoa atimae kesho ndio siku yenyewe,

Kesho ndio siku iliyopangwa nikatoe mahali,
Posa tayari nilitoa 50k kwenye bahasha na tulipangiwa siku ya kwenda na mahali ambayo ni 1.5 milioni,

Mpaka leo hii ninayozungumzia pesa niliyonayo ambayo haina kazi na ndio ninayoweza kuitumia kwenye mahali ni 200k(laki mbili Cash),

Na siku ni kesho Nasubiria ikifika niende nayo nikamkope mtoto wao na hiyo nitoe kama advance tu sijui kama watanielewa,

Cc Zero IQ
huyo mke si level yaako, kaatafte akina amber rutty
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom