Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,276
Kama kuna mtu humu hajawahi kuwa na mchepuko aseme[emoji19]
Mie naona hili suala tulipitishe na tulihalalishe ili kila mtu amuweke wazi mchepuko wake kwa mwenza wake!
Isitokee tena ndoa kufa kisa fumanizi, mwanandoa uwe unaomba ruhusa kwa mwenzio unaenda zako kwa mchepuko unafanya utakacho then unarejea nyumbani!
Ni hayo tu[emoji34][emoji34][emoji34]