Kama heading inavyoeleza hapo juu
Sifa zangu
Kijana wa kiume 27yrs
Mrefu
Nimeajiriwa
Christian
Muaminifu
Upendo wa kweli
Sifa za ninaye muhitaji
Msichana
Umri 20-26yrs
Awe anashughuli ya kufanya...
Hapa ninapoishi nyumba yakupanga,tupo wapangaji watano mmoja dem ajaolewa mwenyeji wa kondoa mrangi amenishangaza, kunamambo anayafanya kila asubuhi ya alfajir anaenda njia panda karibia na...
Wakuu habarini za mchana,
Kama kichwa cha habari kisemavyo,nipo katika mahusiano na binti mmoja karibia miaka miwili sasa.
Kwa kweli huyu binti nilimpenda sana mwanzoni kipindi penzi lipo...
Kuna mwanamke nilisoma nae Chuo alinipenda sana kwa kuwa life Chuo lilikua sio zuri nikampotezea sikutaka demu kipindi hicho, sasa Niko mkoa mwingine mbali nae ila kila upuuzi wangu anausapoti...
Huu uzi ni special kwa sie tusie penda kuanzisha thread kwa sababu ya matukio madogo madodo
Lengo la kushare matukio haya ni kuweza kuwasaidia wengine siku akikutana na tukio la aina yeyote aweze...
Habari,
Mimi ni mdada wa miaka 25, Nimeolewa Disemba mwaka jana.Yamenikuta mimi ninampenda sana mume wangu (lakini mmmh). Kwa ufupi mimi nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama but baba alifariki...
Wakuu umuofia kwenu,
Nianze kwa kukiri kuwa hii ni mojawapo ya mada ngumu kabisa kuijadili mbele ya kizazi cha leo, yaani kizazi kipya. Najua si kila mtu ataipokea kwa mtazamo wa kupingana kwa...
If a man must have a good job or business , car and a house before marriage. What must a woman have before marriage?
Kama mwanaume anatakiwa kuwa na kazi nzuri ama biashara, gari na nyumba kabla...
Habari wana JF.
Mimi mzima hofu kwenu. Ni miaka kama miwili imepita tokea tupotezane na msichana ambaye nilikuwa nikimpenda sana, kipindi nipo form 4 yeye alikuwa form 3 which means mwaka 2017...
Wengi wanakimbilia ndoa,wakiamini watakuwa wanafanya tendo masaa 24 kwa siku...tatizo linajitokeza pale mhusika anapoamua kuwa halisia na kutaka kufanya tendo pale atakapojisikia yeye na si wewe...
Nawasalimu wana JF wote.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kuwaasa wanafunzi hasa wa vyuoni wanapokuwa vyumbani kwao wawe makini. Wanachuo walio wengi aidha wawe hosteli za chuoni au za...
Kamahuelewinisubiriubungonakuja
A GOOD WOMAN, MAKES A GOOD WIFE AND A GOOD WIFE BECOMES A GOOD MOTHER. A GOOD MOTHER GIVES BIRTH TO A GOOD CHILD. IF YOU WANT TO BE A GOOD WOMAN, WIFE AND MOTHER...
Serikali ya Tanzania imeanza rasmi kuwasaka Kimya Kimya Madaktari wote wenye Umaarufu wa Kuwatoa Mimba Watoto wa Kike ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi ( Primary ) na za Upili ( Secondary )...
Nawasalimu members wenzangu
Ndugu zangu nilikuwa tuna jirani yetu mmoja alikuwa ana uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja anayeitwa Rehema. Huyu jirani yetu alikuwa ni mpole, mstaarabu pia ni...
Ukiwa na akili huhitaji kuchunguza uwezo wa mwanamke na mwanamme upi ni bora na imara.
Akili za wanawake ambazo kila wakikuwa ndio zinapungua uelewa na kujiamini. Hawawezi kuwa na maamuzi sahihi...
Kama kuna kitu kinahakikiwa kwa umakini na kwa kurudiwa basi ni hiki kitu pesa.... Unaweza kumpunja mtu kwenye kitu chochote lakini sio pesa... Mpunje kwenye kipimo cha nafaka, ukamzidishia...
Kila mtu anaekuja umu anaitaji mara mke above 28yrz. mara mme above 35yrz
sasa apa leo nataka nikutane na watoto wa kike 20-23yrz. milango iko wazi mimi ni single boy. ata wakijitokeza wengi...