Nilikuwa nadate na mdada flan....kwakweli maisha ndo kwanza nmeanza....lakini katika mazingira ya ajabu akanitegeshea mimba.
Nami nkampa ukweli kuwa sipo tyari kuwa mzazi na pia majukum hayo...
Wakati naoa nilikua sina kitu kabisa, ndiyo nilikua nimemaliza chuo na nina ajira lakini mshahaara ulikua mdogo sana, nilioa kwakua umri umeenda na niliona nitachelewa. Mke wangu alikua na...
Nipo zangu tu gheto nimelala tayari kuna kiumbe amejipendekeza,
Leo nilipanga nipumzike baada ya kuchoka na mtanange wa jana lakini wapi,
Saa kumi na mbili natumiwa sms na demu simjui kumbe...
Leo nakueleza namna janaba linavyoweza kubemenda afya ya matoto mdogo, nakueleza kwanini mtoto wako anadhoofika wa mwenzio anakuwa na afya imara bila kula lishe madhubuti.
Lile jasho la ngono...
Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio...
Habarini za muda huu,
Twende kwenye maada ya moja kwa moja bila kumung'unya.
Je, ilikuwaje siku uliachana na boyfriend/girlfriend wako uliyempenda kwa dhati kabisa, baada ya kuachana naye hasira...
Aisee wadau, hii mbinu nyie mnaionaje? Zamani nilijua kumridhisha mwanamke (kufika kileleni) ni kazi inayokuhitaji utumie nguvu nyiingi sana,,, kumbe sio hivyo, nimekuwa nikidate na wamama tafauti...
Kuna msichana flani alikuwa msichana wa mshikaji wangu, kipindi yuko na jamaa mimi nilikuwa kama msuruhishi wao ikitokea wakigombana yani jamaa ananiomba nimbembeleze msichana, jamaa yeye hanaa...
Katika harakati za kutafuta maisha unakutana na mwanamke, mnaanzisha mahusiano na hatimaye mnaamua kuishi pamoja kama mke na mume. Llakini kabla hamjaanza kuishi pamoja, mara moja moja ulikuwa...
-Usiku wa manane jua Kali likawaka hali ambayo sikuizoea hivyo ilinipa mashaka sikutaka tugombane yeye ndo alitaka akawa ananililia eti anataka talaka lile ua letu la upendo likanyauka nilitaka...
Kama nilivyojieleza, wasichana mlioko mikoa hiyo tajwa hapo mpate bahati gani tena ingine!? mtapata kukutana na mimi Live
Masharti Kuzingatiwa
- Ni Inbox
- Uwe smart na charismatic
- Kichwani...
Wanaokimbilia kwenye ndoa kwa ajili ya ku-kwichi kwichi kila wakati, wasioe/wasiolewe. Kule kwenye ndoa hakuna ku-kwichi kwichi kila wakati, kuna kunyimwa gemu kutokana na sababu mbalimbali...
Aisee naongea kwa huzuni ambayo ina ubwege kidogo ndani yake. Lakini sitoona haya/ aibu kuizungumza mbele ya hadhira.
Kuna binti wa umri wa miaka 19 nilimtongoza miezi kadhaa ilopita (Kama miezi...
Kuna baadhi ya wanawake wao kutoa Papuchi ni kama mzigo sana kwao unakuta wengi wanakimbilia ndoa na wanajitahidi pale mwanzoni tu ndoa ikiwa changa lakini ikifika miezi michache wanaanza kubania...
Sikuhizi kuwa na mchepuko ni kitu cha kawaida sana. Hasa kwa wenye ndoa za mke mmoja. Mchepuko anapata mahitaji yote lakini hajulikani kwenye ukiona.
Si jambo la kushangaza unakuta mama...
Ni mtu ambae nimekuwa nae kwenye mahusiano, tukatokea kupendana sana lakini ghafla upepo wa kisulisuli ukatupitia akanipiga kibuti, jamani kuachwa kubaya hasa mtu unayempenda.
Nimejaribu kumuomba...
Je, kuna mtu yeyote yule wa kike au wa kiume ambaye anaweza kuwa na mpenzi wake wamependana sana sana sana na wakakaa miezi sita(6) bila ku sex. Je yupo na inawezekana?
Upande wangu mimi siwezi...
Natumai mu wazima wana jf, nisichukue mdaa Sana ni takribani mwaka umeishaa toka tuachane NA ex wangu tuliodumu nae kwa miaka mitano . Ni kweli nilimpenda Sana nakunifanya nisione mwanamke...
Habari zenu
Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes
Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni...
Kuna msanii alihojiwa na Radio moja wapo hapa nchini akasema yeye huwa anafanya mapenzi kila siku tar 1 hadi tar 30 mkewe akiwepo. sasa mimi sina experience na hili maana najiuliza na nauliza...