Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,201
Nipo zangu tu gheto nimelala tayari kuna kiumbe amejipendekeza,
Leo nilipanga nipumzike baada ya kuchoka na mtanange wa jana lakini wapi,
Saa kumi na mbili natumiwa sms na demu simjui kumbe nilikuwa na Namba yake kitambo ila sikuitilia mkazo,
Baada ya kuona sina mpango nae kaamua kujileta kwa kujifanya Amenimisi sasa mimi sina msaada nae,
Nasubiria Muda tu.