Matumaini yangu kuwa mu_buheri wa afya, hata kwa wale ambao kwao siku imekuwa nzito muumba atawajaza wepesi.
Bila kupoteza muda nilejelee maada husika. Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri...
Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili awe mpenzi wangu
Sifa-:-
1) umri kati ya 25 mpaka 45
2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote)
3)mwenye kazi yake au biashara
4)mwenye...
Wakubwa Shikamooni...
Kwa takribani wiki sasa kumekuwa na mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu kwa kuanisha jinsi gani Wadau humu wanavyoloweka na walivyo wakwale kwenye sekta nzima...
Wakuu
Maji yameshafika shingoni naona uzee ndio huu ulishaingia, kwahivo natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 55 hadi 60 nimuoe ilitumalizie uzee wetu, awe na watoto sawa tu, awe alifiwa na mume...
msichana wa type ya kishua(asinitegemee sana kifedha kwani na mimi ndo nimetoka tuu chuoni) mwenye mwili wa wastani, rangi asiwe mweusi. miaka 18 mbaka 24.
dini yoyote(mkristo atapata kipaumbele)...
Mi nikijana mwenye miaka 29
Rangi yangu: Light skin
Kimo: 5’8
Dini: Mkristo
Msukuma kwa kabila, nimemaliza chuo 2017 na kupata shahada yangu ya kwanza. Nimwajiliwa serikalini.
Nilikuwa kwenye...
Baada ya kuona jamii inavuka ule mpaka wa kumrekebisha mwanamke na kugeuka kuwa kumsimanga mwanamke, nimeonelea kutoa angalizo lifuatalo.
Sisemi kwamba wasikosolewe, ninachosema ni wasionewe...
Habari za muda huu,
Kuna kauzushi fulani aliniambiaga girlfriend wangu fulani wakati huo. Yeye ni mtu wa Kondoa, yaani Mrangi
Aliniambia kama umekwich kwich na Mwanaume, halafu ukamfuta na...
Mimi ni Mkristo mcha Mungu mlutheri miaka 30 nipo Dar es salaam.
nafanya kazi katika kampuni binafsi.
Nahitaji mume Mkristo mcha Mungu mwenye mapenzi ya dhati.
Awe hajawahi kupata mtoto kwani na...
Tunacheza upatu, vikoba, vibubu ni kwa kujikwamua kiuchumi. Kuna mengine tunashindwa kuwaambia maana mkikasirika hamchagui maneno.
Unatumiwa ujumbe nyumbani nyumba inavuja, paa limechoka...
sehem za siri zimezungukwa na mishipa mingi ya fahamu ambayo ndo chanzo cha msisimko wa furaha ya ngono...
sehem za siri huhitaji maandalizi ya kabla(romance) isiyopungua robo saa nakuendelea...
@Roma_Mkatoliki
Mafanikio Makubwa Kwenye NDOA Yoyote Sio Kupata #Pesa Wala Sio Kumiliki #Mali Pia Sio Kujenga #Nyumba Wala Kununua #Gari Mafanikio Makubwa Ni Kuhakikisha Mkeo/Mumeo...
Hi everyone in here,
Binafsi namshukuru sana Mungu kwa uhai huu wa bure sijui ninyi.
Katika wiki za hivi karibuni nilikuwa busy kidogo nikitengeneza mambo katika familia yangu, nikiyajenga na...
inasikitisha sana kila nipitapo nakutana na wanaume wenzangu, wanaume shababi kabisa lakini wametoga masikio, wengine usiku wanavaa vikuku mguuni,
Nafikiri watakuwa hawajui tu kwa kiasi gani...
Wanaume wenzangu njooni piteni hapa tukumbushane hili jambo,maana huu ndo ukweli wenyewe siku hizi kuna misunderstanding sana juu ya maisha ya kimahusiano baina ya jinsia ya ke na me hata kwenye...
Miongoni mwa vitu vinavyochangia wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume siku hizi ni vile wanawake wengi siku hizi hawajisitili vyema maungo yao kiasi cha kuzoeleka machoni!
Swali; hili likoje...
Kuna wanawake dunia hii wana sifa zote za kuitwa wanawake,unajua siku zote mwanamke kaumbwa kama kiumbe chenye unyenyekevu/ mpole/ mtiifu/ mkarimu nk ila shida inakuja kuna ingizo jipya sijui hawa...
Kiuhalisia ni Matamanio ya mwanaume yeyote kuanzisha familia na mwanamke asiyekuwa na mtoto/watoto (asiye single mother). Na pia hivyo hivyo kwa Mwanamke kuanzisha familia na mwanaume asiyekuwa na...
Dunia imekuepo tokea miaka saidi ya 6000 kutokana na sayansi but kuna jambo bado linachanganya watu mpaka saiv swala la kutongoza na kupata dem mzuri mapema ..
Njia gani ya zamani unayoijua...