Hivi inawezekana mtu mwenye ulemavu wa macho akakumbwa na mfadhaiko au kuishiwa nguvu za kiume?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Miongoni mwa vitu vinavyochangia wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume siku hizi ni vile wanawake wengi siku hizi hawajisitili vyema maungo yao kiasi cha kuzoeleka machoni!

Swali; hili likoje kwa ndugu zetu vipofu je na wao hukumbwa na mfadhaiko au hili tatizo la kuishiwa nguvu za kiume?
 
Kipofu ni jina lilo kaa kidhalilishaji.. Tumia "watu wenye ulemavu wa macho"linapunguza ukali..
Sawa sawa na neno Zeruzeru ni lina ukakasi ukitumi "ulemavu wa ngozi" lina sound vzr..

Nirud katka mada..Point yangu ni moja NYOKA AFUNDISHWI KUNG'ATA..
 
Kitu kingine Ni vyakula...

Je na yeye si anakula machipsi mayai haya na mataptap haya haya tunayoyatumia sisi????
 
Kitu kingine Ni vyakula...

Je na yeye si anakula machipsi mayai haya na mataptap haya haya tunayoyatumia sisi????
kwahiyo naye anapatwa na mfadhaiko akikutana na mwanamke Marshallah
 
Kipofu ni jina lilo kaa kidhalilishaji.. Tumia "watu wenye ulemavu wa macho"linapunguza ukali..
Sawa sawa na neno Zeruzeru ni lina ukakasi ukitumi "ulemavu wa ngozi" lina sound vzr..

Nirud katka mada..Point yangu ni moja NYOKA AFUNDISHWI KUNG'ATA..
Mfano wa comment za wanasiasa ni hizi. Sasa hiyo misamiati kipofu na zeruzeru imekuja tuifanyeje? We unadhani kipofu ukimuita kilema wa macho atapenda? Ndo zaidi utamkera kwa hilo neno kilema.
 
Mfano wa comment za wanasiasa ni hizi. Sasa hiyo misamiati kipofu na zeruzeru imekuja tuifanyeje? We unadhani kipofu ukimuita kilema wa macho atapenda? Ndo zaidi utamkera kwa hilo neno kilema.
hahahah mbwembwe tu
 
Nguvu za kiume haziishi kutokana na kuangalia maungo ya kina dada,kubwa linalosababisha upungufu ni vyakula,ukila vibaya vibaya utapata kisukari,pressure,vidonda vya tumbo,obesity hayo mambo ndio chanzo cha upunguvu wa nguvu za kiume.
 
Pornography ni moja ya chanzo kikubwa ya hilo tatizo...hizo ulizotaja wewe ni zile sababu physical..ila kuna masuala ya kisaikolojia pia
Nguvu za kiume haziishi kutokana na kuangalia maungo ya kina dada,kubwa linalosababisha upungufu ni vyakula,ukila vibaya vibaya utapata kisukari,pressure,vidonda vya tumbo,obesity hayo mambo ndio chanzo cha upunguvu wa nguvu za kiume.
 
Huwa wanajisikia vibaya sana ukiwaita kipofu.
Jizoeze kumwita "mtu/watu wasioona" au mlemavu wa macho. Ukienda mazingira ambayo watu hawa wapo, hili jina "kipofu" hatulitumii kabisa.
Nirudi kwenye mada yako sasa;
Hawa watu wana hisia kama sisi na/au inawezekana wametuzidi sisi. Kuna wasioona ni malaya, wajanja wajanja, nk. Anaweza kuwagonganisha watu na wasijuane. Kama umewahi kukaa nao karibu wana tabia akimshika mwanamke anataka ampapase papase na hujitetea kuwa wao mikono ndio macho yao hivyo asilaumiwe kwa kupapasa.
 
Back
Top Bottom