Ipo hivi: Mwanaume na mwanamke ni boss na mwajiriwa

Supastar

Senior Member
Mar 19, 2019
110
94
Wanaume wenzangu njooni piteni hapa tukumbushane hili jambo,maana huu ndo ukweli wenyewe siku hizi kuna misunderstanding sana juu ya maisha ya kimahusiano baina ya jinsia ya ke na me hata kwenye ndoa.

Suala la kuchagua mke mwajiriwa na kuacha asiyeajiriwa kuna wakati halina maana kwasababu kaa ukijua kuwa ukizaliwa mwanaume wewe ni boss tayari na mwanamke siku zote ni mtumishi wako ambaye ni lazima umlipe mshahara.

Kama ilivyo kwa kampuni yoyote ile mfanyakazi akiajiriwa matarajio yake ni kulipwa mshahara ndivyo mwanamke anachotarajia kukipata anapompata mwanaume.Haijalishi kampuni halijatengeneza faida ama vipi mkurugenzi ataumiza kichwa lakini lazima pesa ya mshara lazima ilipwe.

Mwanaume acha kulalama unapoombwa pesa na mwanamke na kumuona ni mpenda pesa mpe huyo anaomba mshahara kwa boss wake.

Mwanaume ukiwa masikini mwanamke huchukulia ni kazi isiyolipa au kazi ya kujitolea.
Wanawake wengi wanatafuta kazi kwenye kampuni kubwa yaani wanaume matajiri.

Kamwe usije kukosea kumchukulia mwanamke kama business partner wako ktk maisha utalia,maana yeye ameumbwa kuajiriwa na wewe,wewe km hajaridhika na ww tafuta pesa muongezee adumu kazini.

Maisha ni magumu wanawake wengi wanazisaka ndoa kama suluhisho ni kama ww unavyosaka kazi kuna wkt km hujapata uipendayo unaamua kufanya kazi yoyote tuu ili ujipatie riziki so wanaume plz tuelewe hv tusije kununua magunia ya mkaa,Iko hivi mfanyakazi anapoacha kazi kampuni hutangaza ajira na kuajiri mwingine so don't judge it emotionally.
 
ikiwa maandiko yanatutahadharisha tuishi nao kwa akili, wewe unawatetea au bado hayajakutokea puan???
 
Shida ni moja,
Kampuni kubwa ndio zinaongoza kwa kutelekeza,, tunapata mama na mtoto, baba ajulikan alipo.
BIG BRAIN MATTER MORE
 
Maisha ni magumu wanawake wengi wanazisaka ndoa kama suluhisho ni kama ww unavyosaka kazi kuna wkt km hujapata uipendayo unaamua kufanya kazi yoyote tuu ili ujipatie riziki so wanaume plz tuelewe hv tusije kununua magunia ya mkaa,Iko hivi mfanyakazi anapoacha kazi kampuni hutangaza ajira na kuajiri mwingine so don't judge it emotionally.[/QUOTE]

Nimependa hili hitimisho lako aisee!
 
Back
Top Bottom