jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,726
Kiuhalisia ni Matamanio ya mwanaume yeyote kuanzisha familia na mwanamke asiyekuwa na mtoto/watoto (asiye single mother). Na pia hivyo hivyo kwa Mwanamke kuanzisha familia na mwanaume asiyekuwa na makandokando.
Hapa tukiweka constants factors zingine kama wale waliokubaliana na hali ya kuanzisha familia na kuwa mke wa 2 au mke wa 3, au mke wa 4.
Kuwa na mtoto (Single parency) si vibaya hata kidogo bali inasababisha your options of selection na settling kuwa nyembamba, hasa hasa kwa wanawake, mfano:Mwanamke wa miaka 25 asiye na mtoto ni rahisi zaidi kuolewa na mwanaume wa chaguo lake kuliko Single mama wa miaka 25.
Ninachotaka kusema (expecially for ladies) ni kuwa, play wisely and safely, tumia akili zako za kichwani zaidi kuliko hisia usihatarishe chance zako za kuwa na familia bora mbeleni kwa kuendekeza maisha ya kujiachia sasa hivi.