Sehemu za siri na utendaji wake

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
sehem za siri zimezungukwa na mishipa mingi ya fahamu ambayo ndo chanzo cha msisimko wa furaha ya ngono...

sehem za siri huhitaji maandalizi ya kabla(romance) isiyopungua robo saa nakuendelea ajili yakuleta msisimko zaidi wa furaha ya tendo...

maandaliz mazuri huwafanya washiriki kua emotional zaidi nakuwafanya walifurahie tendo la ngono.
nb:matumizi ya speed kubwa si rafiki sana coz humfanya mlengwa asiridhike bila speed kubwa, pia huchangia kuyazeesha maumbile mapema zaidi.
 
Yakishika moto speed huwa automatically.
Hujiongeza na kujipunguza kulingana na mahitaji ya wahusika.

Usiku mwema pia.
 
Back
Top Bottom