Hivi ni staili gani nzuri ya kutongoza

Hivi ni staili gani nzuri ya kutongoza

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
622
Reaction score
822
Dunia imekuepo tokea miaka saidi ya 6000 kutokana na sayansi but kuna jambo bado linachanganya watu mpaka saiv swala la kutongoza na kupata dem mzuri mapema ..

Njia gani ya zamani unayoijua ambayo ikitumika saivi itabamba sana na kupata mtu unaemuhitaji .. nipeni mawazo yenu bas [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
 
frenderPH,

Wanasema style nzuri ni ile ya mpe pesa, we mpe, halafu mpe tena pesa zaidi na endelea kumpa pesa zaidi na zaidi.
 
Dunia imekuepo tokea miaka saidi ya 6000 kutokana na sayansi but kuna jambo bado linachanganya watu mpaka saiv swala la kutongoza na kupata dem mzuri mapema ..

Njia gani ya zamani unayoijua ambayo ikitumika saivi itabamba sana na kupata mtu unaemuhitaji .. nipeni mawazo yenu bas [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Just give her money and don't ask for anything....atakuletea kabeba mbumbua kichwani
 
Dunia imekuepo tokea miaka saidi ya 6000 kutokana na sayansi but kuna jambo bado linachanganya watu mpaka saiv swala la kutongoza na kupata dem mzuri mapema ..

Njia gani ya zamani unayoijua ambayo ikitumika saivi itabamba sana na kupata mtu unaemuhitaji .. nipeni mawazo yenu bas [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Ukienda kwa madanga
Zile salon za wanaume kule Mwenge na Sinza wanaojihusisha na kutufanya massaging....hutongozi wanakupima machoni tu ukisinzia wanajua tayari
 
Hahahah ko kumbe mdudu ela ndo mwisho wa kila ktu
Wanasema eti tafuta hela, tumia hela, toa hela.....! Ikishindikana hiyo mbinu basi acha kutongoza!
 
Back
Top Bottom