Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari za majukumu ya kulijenga taifa letu. Hivi karibuni nilipata kuhama sehemu niliyokuwa na kuhamia sehemu nyingine kikazi, na Mungu ni mwema nafasi (cheo) kilikuwa ni cha juu tofauti na...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwanza pole kwa majukumu ya kuijenga Kenya na Afrika ya mashariki. Hili ulilosema umenifanya nifumbue macho maana pia Mimi ninamabinti na ninatamani niwaone wakiwa Bora. Wapo ambao hawajui...
15 Reactions
28 Replies
3K Views
The very first HIV cure may soon enter the market. A pharmaceutical company believes it has created the drug that would completely eliminate the virus in the body. Existing medications could only...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
If my man pays for lunch, I pay for dinner, If he pays for the movie tickets, I will buy snacks. If he buys me a shoe, I'll get him a nice suit. If he's having a rough day, I'll help him...
13 Reactions
59 Replies
6K Views
Yeye single baba wa mtoto wa kike na mimi single mama wa mtoto wa kike, tukubaliana tuyajenge tulee mabinti zetu. Cha ajabu hataki nimwambie yeyote kuhusu huu uhusiano wetu. Kanivisha pete mbele...
3 Reactions
133 Replies
10K Views
Habarini za wakati huu wanajamvi, jamani mie nimeachana demu wangu wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa muda miaka kama miwili baada ya hapo kila myu akaendelea mbele na maisha yake. Sasa kwenye...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu? Siku moja nikiwa bado kijana mdogo niliwasikia akina mama wakizungumza au niseme"kuteta, juu ya bint mdogo wa JIRANI yao (umri kati ya miaka 14hadi16)aliekua amejifungua, MZEE mmoja...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tuna miezi 6 kwenye Mahusiano yangu mi na yeye, ile miezi miwili ya mwanzo alikuwa anapata period zake fresh tu lakini sasa ni miezi 4 inaenda bila kupata period, Alishapima Mimba mara 2, wiki...
4 Reactions
63 Replies
7K Views
Habari wanandugu Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 33 natafuta mwanamke kwa ajili ya kujenga familia. Nahitaji mwenye sifa zifuatazo Mkristo wa kueleweka Umri asizidi 30 Elimu kuanzia kidato...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ofa ofa ofa kuelekea Msimu wa sikukuu na mwaka mpya, We msichana/Mdada/Mmama wa jamii Forum inakuwaje uko Single mpaka sasa, Mi Zero IQ nakalibisha maombi yenu PM ya kuwa Mwenza wako siku zote...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika sayari hii ya dunia kuna baadhi ya watu wanakwambia mapenzi ndiyo yanayoiendesha dunia, hii ni kwa sababu asilimia kubwa ya watu wengi wametawaliwa na mawazo ya kimapenzi. Pamoja na kuwapo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za muda huu wanajamvi.Poleni na hongereni kwa mihangaiko ya hapa na pale katika kulijenga Taifa letu pendwa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Jamani eee,kumekuwa na vilio...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Katika makala haya tunaangalia namna ya kumsadia mtoto aliyezaliwa pekee kwenye familia ili kuondokana na madhara yatokanayo na malezi ya upweke. Ingawa ni nadra kuona familia zenye mtoto mmoja...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Jana jamaa ambae ni rafiki angu aliniombaa kwenda kwake kumpoozesha shemij yaani mkee wake ili asije kuondoka na hii ni baada ya mkee wake kumkuta anamgegenda beki tatu tena kitandani kwake live...
3 Reactions
70 Replies
8K Views
Wakuu, nimeiona mahali, "eti wanaume mwezi huu wa Desemba mjitahidi sana kuwa karibu na wake zenu, hata kwa kupretend kwa kuwa wanawake wengi huu ndio mwezi wanao vunja VICOBA na kugawana hela"
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Disemba ni mwezi ambao umejaa sikukuu nyingi na pia ni mwezi ambao watoto hufunga shule na kurejea nyumbani kwa ajili ya mapumziko ili kusherehekea sikukuu hizi pamoja na familia zao. Makala haya...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 22 lakini mpaka leo naogopa mademu, huwa najishtukiaga kinoma. Hivi nina matatizo gani?
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndoa za utotoni mara nyingi hutokea kati ya msichana mdogo na mwanaume mzee. (Mfano miaka 15 kwa miaka 75) Msichana ananyimwa haki yake ya kuchagua mwenzi na kupewa uwezo mdogo nyumbani na hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nende kwenye point, Miezi kadhaa iliyopita kupitia app fulani ya Dating nikakutana na mdada, tukaanza kuchat baadaye akanitumia picha nikabaini ana shida ya ngozi. Awali nilishtuka sana na...
6 Reactions
67 Replies
8K Views
Huu ni ukumbusho tu kua mwakani watoto waliozaliwa mwaka 2002 wanakua watu wazima, wanakuja kuongeza ushindani sokoni, wanaruhusiwa kupiga kura na mambo mengine😂. Watoto wote waliozaliwa mwaka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…