Sijui ni laana gani hii mimi imenikuta mwenzenu

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,766
Habarini za wakati huu wanajamvi, jamani mie nimeachana demu wangu wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa muda miaka kama miwili baada ya hapo kila myu akaendelea mbele na maisha yake.

Sasa kwenye harakati za kusaka mbunye(wanawake) najikuta nadondokea kwenye balaa hata siliekewi kabisa. Demu wa kwanza kukutane nikiwa nimetoka kubreak up nilimpenda sana na baadae huyu naye akanetea drama nikatemana naye.

Hii sasa iliuofuata ndio balaa., nimekuwa nikifukuzia mademu unampenda safi tu lakini baadae unafuatilia kumbe anamtoto mmoja kazalishwa tayari daaah .

Yaani ni mademu kama watano wote wamezalishwa aiseee sasa hii nyota gani wanaume wenzangu. Kila nikitongoza demu nikishakula mzigo nayukaanza kuwa serious kidg kwenye mahusiano unasikia.

Babe nikwambie kitu, ukweli ni kwamba nina mtoto mmoja nyumbani. Hii ni dalili gani jamani walahi hawa babe mamas mie mbona wanakuja kwa njia yangu hivi?
 
Back
Top Bottom