Dada wa kazi za ndani hatarini kuvunja ndoa

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,855
12,984
Jana jamaa ambae ni rafiki angu aliniombaa kwenda kwake kumpoozesha shemij yaani mkee wake ili asije kuondoka na hii ni baada ya mkee wake kumkuta anamgegenda beki tatu tena kitandani kwake live bila chengaa mke ni mjamzito anafikiriaa kuondokaa nimejaribu kumzui imeshindikana. . na anataka tu kusepa ampishe jamaa na huyo beki tatu

Ananiomba nimsii mkee wake ila namim nimeshindwaa nikaona niwasilishe kwa wanabodi mtoe mbinu kwa wale waliokwisha fumaniwa na mabeki tatu mlifanyaje dhoruba hyo ikatuliaaa
 
Aibu kubwa sana na dharau ya juu kwa mke. Ifikie hatua tuwaonee huruma wanawake!

Hivi hadi unafikia hali hii akili zinakuwa wapi? Malaya na papuchi za bure na cheap zipo kibao mtaani! Angeenda mbali basi!
Yaani NYEGE hizi!

Mie mwnmke wa aina ht sijawahi muonea huruma !kuna mambo yanavumilika ila sio wehu huo!..
Mie honesty sitaondoka tu..haitanipunguzia maumvu !yaan nyumba ntaimwagia petrol na yy akiwemo ndan!atajju mwneyew km atasave maisha yake au vip!mie nitaenda gerezani kwa raha zote!shenzy mno!
 
Dada mpendwa maamuzi magumu sana hayo...

Jamaa ajue kuwa ameshaharibu na hilo ni kosa ambalo hata imani zetu zinahalalisha ndoa kuvunjika...

Amuache aende kwao kama moyo wake utarudi nyuma atarudi tuu nyumbani, kama hautarudi basi akubaliane na hali halisi a
 
Best inauma ujue?umeshindwa kutafta wanawake wa nje uje ulale na dada wa kazi tena room kwetu?aisee sikuachi hivhv...!never!yaan nakumwagia tindikali kwenye dudu umelala!
 
Aibu kubwa sana na dharau ya juu kwa mke. Ifikie hatua tuwaonee huruma wanawake!

Hivi hadi unafikia hali hii akili zinakuwa wapi? Malaya na papuchi za bure na cheap zipo kibao mtaani! Angeenda mbali basi!
Yaani NYEGE hizi!
Angeenda mbali huenda angerudi na ukimwi mkuu, kikubwa n kubaki njia kuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom