Ushauri kwenu wanaume: Mwezi Desemba kuwa karibu na mkeo ili mpate hela za VICOBA

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,971
35,113
Wakuu, nimeiona mahali, "eti wanaume mwezi huu wa Desemba mjitahidi sana kuwa karibu na wake zenu, hata kwa kupretend kwa kuwa wanawake wengi huu ndio mwezi wanao vunja VICOBA na kugawana hela"
 
Mwezi huu hadi wanasindikizwa kwenye vikoba, jamaa wanauliza kabisa "kesho jumamosi ratiba yako ikoje?"
 
Back
Top Bottom