Nimekuwa nikipita stend za daladala mida ya jioni nakuta wadada wanafakamia supu ya Pweza [emoji223][emoji223] na vile vikacholi sijui[emoji848]
Yaani wapo bize hatari nikawa najiuliza...
Kwanza muelewe siko na sijawahi kuwa weak namna hii ila huyu binti mzungu wa Kigoma nimempenda sana.
Kwa mwezi sasa nipo Kigoma mwisho wa reli, juzi katika shughuli zangu nikakutana na mwanamke...
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80 (pengine ni 700-800) baada ya hapo unaishi miaka ya ubatili
Ukipewa hii Neema ya kuishi miaka hiyo...
Wakuu wikend hiloo...
Sasa twende kwa topic, wanawake weupe wengi asilimia kubwa hawana makalio aka bunango wengi wana hips na miguu mizuri ila wana mvuto.
Ila ukija kwa dada zetu black aka...
Kawaida naamini kutulia na mmoja mliyepima afya ndio dili kwani ladha ni ile ile tu ila sura, usafi na tabia wametofautiana.
Lakini wakuu nimebahatika kupata mwanamke mzuri lakini 6/6 ananifanya...
Hi guys..!
Natumaini mpo salama sana.!
Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo...
MY FUTURE WIFE
_______________________
Baada ya kutumia muda mwingi mchana katika kufanya mambo ya msingi na yasiyokuwa na msingi, inapofika muda wa kulala nakuwa nimechoka sana ambapo inabidi...
Wakuu salamu.Nimeishi kwenye ndoa kwa miaka karibia ishirini.Kwa kipindi chote sikuwahi kumcheat mwenzangu.Nimetunza kiapo changu cha ndoa kwamba nitakua muaminifu kwake na kumpenda,nimejitahidi...
Mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo.
-Umri 28
-Mrefu
-Mweusi wastani
-Mpole kimuonekano na tabia
-Mfanyakazi
Leo nakuja kwenu wana JF kuonyesha nia yangu ya kutafuta mchumba ambaye baadae anaweza...
Sophie Toscan Du Plantier
Sophie Toscan Du Plantier Siku ya harusi yake na mumewe
Sophie Toscan Du Plantier akiwa na mumewe
Mtuhumiwa Ian Bailey
Bailey akiwa na mpenzi wake Jules Thomas...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 18-25.
Awe mwenye upendo na anayejali
Elimu sio kigezo sana ili mradi awe muelewa
Mimi nasoma Masters Degree...
Vile mapenzi yanavyonoga, unaweza kudhani dunia yote yako. Ni habari njema sana kwa wanaofurahia mapenzi.
Mapenzi haya jamani yaacheni tu kama yalivyo. Japo maumivu yapo lakini binaadamu hata...
Wanawake wenye IQ's kubwa huwa na wakati mgumu kupata mume. Mara nyingi huwa ni wachaguaji sn na kwao, ni bora kuwa wenyewe kuliko kuwa na mtu ambae sio sahihi. Ndio maana wengi hawajaolewa lkn...
Leo nimekaa likanijia wazo la kijana Diamond ambaye ni homa ya jiji na Africa kiujumla, huyu jamaa kwa upande wangu ni Risk taker katika suala zima la mapenzi, haiwezekani hela zake zote, umaarufu...
Salaam sana wakuu katika jf.ni mwaka mmoja na kidogo nipo mkoani iringa ktk kupambana na hali yangu ila nashangazwa na wimbi kubwa la dada zetu ambao wamekua tom boys.Most of them ni 15-25 yrs...
Hello guys.
Can you fall in love with someone in JF without meeting them???
let's start with that question first..
I asked my self several times, how can this be possible, inawezekanaje mtu...
Kuna siku mwenzenu nimewahi ingia katika kumi na nane za jikedume, bila kujua nikaopoa demu jike-dume;
hii iliwahi nitokea Mara mbili;
ya kwanza ilikuwa ni mwanamke mwenye papuchi kwa chini na...
Napenda kujifunza kutoka kwenu especially kwa wale walioko kwenye ndoa na wale ambao hali kama hii ishawatokea.
Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.