Sijiamini mbele ya wasichana

Sijiamini mbele ya wasichana

Bro nikuambie kitu Kama utakielewa?

Muda wako Bado wa kuwa ivo Kama rafiki yako Fulani jinsi anavyozimega

Muda wako uliopo kuna kitu nafsi inakuambia ujikite Sana ukifanye hicho lakini wewe mwili unakusukuma Sana kwa hao watu yaani Kama unaona hilo tendo unalotaka kuwafanya hao watu Ni muhiiiiimu sanaaaa kuliko mengine. ,kaa chini jisikilize kiukweli

Hayo utafanya kwa kipimo
Na malengo yale utafanya pia.

Kwanini iwe kwa waschana tu mbona kwa wanaume wenzako unajiachia na unaongea ukaeleweka na wanao!

Ulishawahi kujiuliza bro?

Ila bro utakuwa unaishi home pama chalii flani hivi wa mazingira flani hivi ya kishua,mambo ya geti Kali au siyo brother?
 
NAKUPA DAWA YA TATIZO LAKO. PITIA HI THREAD POLEPOLE KILA SIKU SOMA PAGE KUMI ZIKO JUMLA YA PAGE 200 PITIA STORY ZOTE KUNA WATU WAOGA KULIKO WEWE WAMEKULA HADI WATAWA. NI THREAD YENYE INFLUENCE KWELIKWELI INA VIEWS ZAIDI YA MILLION MOJA. INASOMWA HADI NA WATU WA SYSTEM, MAPADRI, MATAJIRI, WAHUNI, WAPOLE, WAOGA Ulishawahi kula tunda kimasihara?
 
Mm mwenyewe jana nimekula tunda kimasihara tu
NAKUPA DAWA YA TATIZO LAKO. PITIA HI THREAD POLEPOLE KILA SIKU SOMA PAGE KUMI ZIKO JUMLA YA PAGE 200 PITIA STORY ZOTE KUNA WATU WAOGA KULIKO WEWE WAMEKULA HADI WATAWA. NI THREAD YENYE INFLUENCE KWELIKWELI INA VIEWS ZAIDI YA MILLION MOJA. INASOMWA HADI NA WATU WA SYSTEM, MAPADRI, MATAJIRI, WAHUNI, WAPOLE, WAOGA Ulishawahi kula tunda kimasihara?
 
Hii hali humkuta kila mwanaume kabla hajaweza kutongoza ila ili kufix ilo tatizo jenga urafiki na wanawake kuwa nawo karibu siku ukiona umpenda tupia kamba kimasihara siyo direct jenga naye urafiki alafu uwe unamchombeza kiutani kuwa unampenda then unaishia apo siku ingine vivyo ivyo ila unaweka msisitizo kiasi chake kila ukimuona ukiweza kung'oa mmoja wengine hutawaogopa. Kingine usiofie kukataliwa uwo ndyo uwanaume Mimi bora mwanamke anayenikataa au anaye niacha nafeel proud sana maana inakupa nafasi ya kupata kitu kizuri zaidi yake
 
Bado hujakomaa, wewe bado ni mvulana ila una akili za kiume.

Muda si mrefu utakomaa. Jiamini na ujibidishe kuongea na wasichana mbali mbali kwa mada mbali mbali.

Usiwatongoze kwanza maana bado unatafuta confidence mbele ya wanawake.
 
Safi sana mkuu, binafsi nimeanza kutongoza tena direct from primary, So hadi time hii mtu haniambii chochote kuhusu jinsi hii ya KE.. Mwanamke/msichana yeyote anayenivutia siwezi sita kumu-approach..
Actually challenges ni nyingi ila ndo zinazidi kuniweka comfortable na kuwaelewa Zaidi hawa mademu..
NB: Mwanamume yeyote atakayesema/kujinadi /kujimwambafai kuwa hajawahi kukataliwa na mwanamke/demu yeyote basi huyo bado hawajahi tongoza na hawajui wanawake, it does not matter wewe ni HB au sura mbaya.

Back
Top Bottom