Huyu demu wangu ata simuelewi mwezi wa Nne sasa bila period

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Tuna miezi 6 kwenye Mahusiano yangu mi na yeye,
ile miezi miwili ya mwanzo alikuwa anapata period zake fresh tu lakini sasa ni miezi 4 inaenda bila kupata period,
Alishapima Mimba mara 2, wiki ya pili ya mwezi wa kwanza baada ya kukosa period, na mwezi mmoja baadae zote ikaonekana hana Mimba yuko fresh,

Lakini hofu ni kwamba miezi 4 sasa imepita hakuna cha period wala nini sijui kama kuna tatizo lolote kwake,

Nimeambatanisha baadhi ya chart zake hapa sijui kama kuna ka msaada,

IMG_20191207_143808_385.jpeg
IMG_20191207_144033_351.jpeg
IMG_20191207_143834_936.jpeg

NB
Kwangu haina shida kwa sababu siku zote mi nachakata tu ila hofu kwangu iko kwake kwa nini miezi 4.

Cc Zero iq
 
Ngoja tuone wataalamu watasemaje, maana iliwahi nitokea kwa binti mmoja nilikuwa nimeshayakodoa magorori yangu kwa hofu ya kupachika gori kambani!

Ila wakwangu alikuwa anarusha miezi miwili miwili. Asipoingia mwezi huu anaingia ujao!

Dah! Haya mambo bhaana!
 
Huyu wa kwangu ananitia hofu aisee miezi 4 sio poa
 
Tuna miezi 6 kwenye Mahusiano yangu mi na yeye,
ile miezi miwili ya mwanzo alikuwa anapata period zake fresh tu lakini sasa ni miezi 4 inaenda bila kupata period,
Alishapima Mimba mara 2, wiki ya pili ya mwezi wa kwanza baada ya kukosa period, na mwezi mmoja baadae zote ikaonekana hana Mimba yuko fresh,

Lakini hofu ni kwamba miezi 4 sasa imepita hakuna cha period wala nini sijui kama kuna tatizo lolote kwake,

Nimeambatanisha baadhi ya chart zake hapa sijui kama kuna ka msaada,

View attachment 1284573View attachment 1284574View attachment 1284575

NB
Kwangu haina shida kwa sababu siku zote mi nachakata tu ila hofu kwangu iko kwake kwa nini miezi 4.

Cc Zero iq
Aisee
 
Alimeza dawa au anatumia uzazi wa mpango ili kukwepa ujauzito kwa lugha rahisi.... Jiongeze wadada skuiz baadhi ni wajanja sana...
Hamezi dawa wala hatumii njia yeyote ya Uzazi wa mpango kwa mujibu wa maelezi yake yeye mwenyewe ndio maana alikuwa na hofu ata ule mwezi mmoja aliokosa period
 
Yani zero na ujanja wako wote unamwandikia manzi ako eti

ule mstari sio mpaka huwe na mimba,like serious Zero?!

kweli ni wewe zero kweli,ila naamini ni wewe maana umetuonyesha

Chart zenu,sasa nikwambie kitu mzee mwenzangu "kuna tatizo hapo"
Niambie hilo tatizo Mzee mwenzangu
 
Tuna miezi 6 kwenye Mahusiano yangu mi na yeye,
ile miezi miwili ya mwanzo alikuwa anapata period zake fresh tu lakini sasa ni miezi 4 inaenda bila kupata period,
Alishapima Mimba mara 2, wiki ya pili ya mwezi wa kwanza baada ya kukosa period, na mwezi mmoja baadae zote ikaonekana hana Mimba yuko fresh,

Lakini hofu ni kwamba miezi 4 sasa imepita hakuna cha period wala nini sijui kama kuna tatizo lolote kwake,

Nimeambatanisha baadhi ya chart zake hapa sijui kama kuna ka msaada,

View attachment 1284573View attachment 1284574View attachment 1284575

NB
Kwangu haina shida kwa sababu siku zote mi nachakata tu ila hofu kwangu iko kwake kwa nini miezi 4.

Cc Zero iq
Apa Unaeza ukawa chizi walah....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom