Huyu dem amenishinda. Mwenye kuhutaji namba zake nimpe.

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Kila Niki SEX naye huwa napata mikosi Sana, pesa sipati dah. Sijui ndo hivo hatujaendana?

Nimeamini kweli mikosi ipo,

Sasa nimeamua kugawa namba kwa mwenye uwezo. Karibuni PM wale waliotayari kuvaa wage.
 
Mwanamke anakutana na Wanaume wote wote bila kuangalia tabia, maadili wala hadhi(cha wote) kwanini asiwe na mapepo ya mikosi? Hofu ya Mungu ndiyo tiba yake.
 
Kabla ya kwenda game na dem yoyote yule. Angalia background yake. Kwao.. hali ya kimaisha ya baba ake.. au wanaume wa familia yao. Chunguza ma ex wake alishi nao vip.. itakupa picha nzima kuwa ukishalala nae utakuwa victim or a winner.

Ahah mkuu mbona vigezo vimekuwa vingi wengine tunakutana muda mfupi tu na game ata jina la wazazi naweza nisijue
 
Kabla ya kwenda game na dem yoyote yule. Angalia background yake. Kwao.. hali ya kimaisha ya baba ake.. au wanaume wa familia yao. Chunguza ma ex wake alishi nao vip.. itakupa picha nzima kuwa ukishalala nae utakuwa victim or a winner.
Toa ufafanuzi wa kina katika hizo criteria ulizo taja. Utoe na maelekezo mfano familia ikiwa hivi basi hivi etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom