Nimekutana na Mpenz wangu anajiuza....

Nimekutana na Mpenz wangu anajiuza....

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,512
Wakuu habr zenu...

Jmosi nilikwenda pale Elements kwa ajili ya kupunguza stress za mishemshe za hapa mjini, mara nyingi huwa nakuwa na wahuni. Ile kufika pale parking daah sikuamin kumwona demu wangu tulioachana 2017 anajiuza pale elements.

Wakuu niliumia sana ukitegemea huyu dada kwao wapo vizur hawana maisha ya shida, pia ni mzuri huyu dada. Baada ya kugundua yeye niliamua kum-follow first alijua me mteja baada ya kunijua akaanza kushout out na kunitukana sana wenzake hao wakanza nishushia maneno, nikachoma zangu ndani.

Wakati wa kusepa nilijitahidi sana kumtafuta lengo nijue anashida gani mpaka kuanza kujiuza but sikufanikiwa hakwepo.

Mpaka sasa najiuliza sana sipati majib aisee kweli dunia inazunguka na inakwenda kasi sana wakuu.
 
Chanzo ni wewe yawezekana , kutokutoa pesa ya matumizi kwake kikachangia kuitafuta pesa kwa njia iyo
 
Sasa we jamaa..demu tangu 2017 mmemwagana..ulitegemea arudi kua mtawa au..mana na yeye ana mahitaji ya kimwili na kifedha kama wewe..kaona na yeye ajitafutie vyakwake.
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Kwani ulikuwa bado uko naye kimahusiano?
 
Aisee...

Anyway waswazi wanasema yaliyopita si ndwele
 
Acha kufikiri mambo ya Fedheha huwakuta watu wengine na sisi wewe. Na kuanza kuomba Mungu yasikukute.
 
Mjasiriamwili

Muache ajitafutie utamlisha ? naona biashara zote alizofanya hio ndo anaona imempendeza mwenyewe

Hilo chimbo lipo wapi mkuu mabaharia huwa wana program ya kupeleka sabuni na mafuta jela na sehemu kama hzo za uhitaji embu tupe info msaada ufike huko
 
Co incidence au hahaha
 
Umalaya ni roho, yaani unajikuta kuna kitu kinakupelekesha, ukishagongwa ndio unaanza kujilaumu.
Halafu kinakuja Tena, kinakupelekesha wee halafu kinawavuta na wanaume waje kwako kwa wingi
 
Labda kaamua kusambaza umeme.
Wakuu habr zenu...

Jmosi nilikwenda pale Elements kwa ajili ya kupunguza stress za mishemshe za hapa mjini, mara nyingi huwa nakuwa na wahuni. Ile kufika pale parking daah sikuamin kumwona demu wangu tulioachana 2017 anajiuza pale elements.

Wakuu niliumia sana ukitegemea huyu dada kwao wapo vizur hawana maisha ya shida, pia ni mzuri huyu dada. Baada ya kugundua yeye niliamua kum-follow first alijua me mteja baada ya kunijua akaanza kushout out na kunitukana sana wenzake hao wakanza nishushia maneno, nikachoma zangu ndani.

Wakati wa kusepa nilijitahidi sana kumtafuta lengo nijue anashida gani mpaka kuanza kujiuza but sikufanikiwa hakwepo.

Mpaka sasa najiuliza sana sipati majib aisee kweli dunia inazunguka na inakwenda kasi sana wakuu.
L
 
Hebu nitumie namba zake ili nisadie kumuuliza ni shida gani iliyompeleka hapo [emoji848]

Back
Top Bottom