CarloJesus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 431
- 838
Ukijua kuwa muda mwingi unafikiria ngono,na huwezi ji-control kiasi unaenda kuchukua Malaya aka (Chips funga)
Kupata maendeleo Ni kazi...
Binadamu ana sifa kubwa ya kujihimili na kujimudu(self control)
...watu Kama wewe ndo kutwa hulalalmika ,wanawake hawavai vizuri kujistiri nk...hizo Ni dalili moja wapo
Kama simu lako limejaa ma video ya pono ...wewe Ni walewale
Sent using Jamii Forums mobile app