Mabaharia wametuangusha kwa kuuawa wakiwa kwenye mipango wa Kandi.

The GT

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
463
526
Umofia kwenu wananzengo.

Mwaka ndo unaishia hivyo na siku zimebaki chache sana lakini zinaweza kuwa mbaya sana kwa wapendwa wetu wengi.Vifo vya ghafla na matatizo kibao.

Kwa kusema hayo niwapashe matukio yaliyojiri Huku mikoani moja ikitokea KILOLO huko IRINGA ambapo baharia mmoja ameshindiliwa visu vya kutosha mwilini mwake Hadi kupelekea kupoteza maisha.

Tukio Zima lipo hivi,hapo majuzi baharia deiwaka hiyo alimset dereva mkuu kwa kumnunulia bia kadhaa ili amuache aendelee kubwia ulabu huo Huku yeye akikimbilia nyumbani kwa dereva mkuu ili wavunje Ile amri ngumu.Hiyo ilikuwa yapata saa 3 Usiku.Baada ya hiyo deiwaka kumpiga Kandi hiyo dereva mkuu Kama zile za Dinho.Mungu si Athumani maana hajawahi kuwa na jina la mtu,dereva mkuu akanyetishwa kuwa umechezewa muvi palepale akaamua kwenda home na hamadi akamkuta deiwaka akifanya take ndani ya kuta nne.Kilichofuata hapo muungane nami kusema R.I.P baharia mpumbavu.Namuita ni mpumbavu maana jamaa mwenyewe anakaribia kujijukuu kabisa Tena alikuwa ni mwenyekiti wa kitongoji na Sasa ameacha mama mjane.

Tukio la pili ni huko Makambako usiku wa kuamkia jana,kijana mmoja naye kalazwa usingizi wa milele baada ya kubambwa red handed na kwenye malkia na kumcharanga na mapanga.

Siongezi neno Ila mbogo yako ichakate juu ya mienendo yetu.
 
Kila kikao chetu huwa nawakumbusha
1. Kaa mbali na mke wa mtu.
Madhara ni makubwa mno. Labda kama mnatoka mkoa A kwenda B. Hata hivyo inabidi nyote muwe mmepitia TISS.

2. Mwanafunzi.

Sasa check uhai ulivyokatwa mapema! Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la kukiuka miiko ya mabaharia.
 
Ni uboya sana kuua mtu kisa mapenzi halafu ukitafuna mke wa mtu usitafune kwake peleka mbali watu wasiwaone huu ni upimbi sana

Haya sasa ajiandae kuingia kwenye kijumba cha nondo SAA kumi na mbili jioni kama vile kuku baada ya kazi ngumu na sare zake za orange zimeandikwa kwa mbali "gereza rekebisha tabia "kama mviringo bila kusahau kuwa na namba utasema candidate wa mtihani kwa maisha yake yote

Labda mke wa kilema yeyote yule au baba mchungaji ni safe kutafuna hao hawawez wa kakutatua marinda au kukuwaisha Paradise

Kweli kabisa aisee!

Siku zote hakuna mnyonge au mtu dhaifu mbele ya mke wake. Hata kilema usishangae anadimama kukuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom