Wanawake jirekebisheni mkitolewa out

Wanawake jirekebisheni mkitolewa out

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Posts
9,446
Reaction score
17,065
Yangu ni machache tu.

Wanawake wa Kitanzania walioolewa wanakera sana. Ukimwambia kajiandae tutoke tukakae mahali tukale mbuzi choma, ataingia ndani akitoka utamwona na bonge ya kitenge cha wax na kilemba juu.

Basi mkifika sehemu husika maongezi yake ni ligi tu. Mbona hivi. Mbona yule mwanamke anakuangalia sana. Mbona??

Lakini ukitoka na mchepuko kwanza atakuwa kavaa kiguo special for you magoti yanaoneka halafu maongezi ni ya kukupa matumaini kwamba jioni uongo.

Mlioolewa mnakwama wapi?
 
Naomba huyo mke anaevaa kitenge na kilemba.. Nimempenda sana.. Alafu na huo wivu yani mapenzi ndio yananoga

Sasa wewe mke wakwako alafu unataka umuone tena magoti mkitoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ndio walewale mnaochungulia wake zenu wakioga
 
Mke wako!
tapatalk_1577043463950.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kwahiyo unataka mkeo akuvalie sketi fupi halafu mkikaa awe anakwambia leo utamkamua sana na akwambie nyege zimejaa!
Haaaa haaaa pole hiyo kwa mke hutaipata endelea na michepuko tu utayapata yote hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yangu ni machache tu.

Wanawake wa Kitanzania walioolewa wanakera sana. Ukimwambia kajiandae tutoke tukakae mahali tukale mbuzi choma, ataingia ndani akitoka utamwona na bonge ya kitenge cha wax na kilemba juu.

Basi mkifika sehemu husika maongezi yake ni ligi tu. Mbona hivi. Mbona yule mwanamke anakuangalia sana. Mbona??

Lakini ukitoka na mchepuko kwanza atakuwa kavaa kiguo special for you magoti yanaoneka halafu maongezi ni ya kukupa matumaini kwamba jioni uongo.

Mlioolewa mnakwama wapi?
Sasa kama wewe humnunulii viguo special for you, wala humpeleki saloon kutengeneza nywele na ukamwambia ndicho unachopenda yeye afanyaje??
Zaidi atachojiongeza ni kushona vitenge vyake alivyozawadiwa kwenye kitchen party na kufunga lemba
 
Umewaza kama mimi!!

Yeye ndo anatakiwa ambadilishe mkewe, ajue nikitoka na babe natakiwa nivae kimbano, kimini!!

Amuige Masanja!
 
Dah kwahiyo unataka mkeo akuvalie sketi fupi halafu mkikaa awe anakwambia leo utamkamua sana na akwambie nyege zimejaa!
Haaaa haaaa pole hiyo kwa mke hutaipata endelea na michepuko tu utayapata yote hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kuna muda wanandoa inabid muwe na some nasty talk kidogo hamuwezi muda wote kujadil maendeleo na ada za watoto
 
Ulitaka avae nguo fupi wanaume tuone chupi yake,then tumfwate kumtongoza??
 
Back
Top Bottom