Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu naamini mko poa jf. Miaka kadhaa imepita, nikiwa kwenye umri wa 30s nikiwa nafanya kazi katika hospitali fulani nilimpa huduma mdada mmoja ambaye kwa kweli alikuwa mzuri sana. Baada ya...
8 Reactions
70 Replies
8K Views
Wasalaaam Kama wewe Dada, Mama au Binti. Umewahi Kuwa kwenye mahusiano Na MTU. Mkapendana mkaitana majina yote Na kwenye mapenzi ukafurahia ... Ghafra ukaanza kuona changes....basi jua Huyo...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Njia sahihi ya kumpata mpenzi wa kweli ni kile kipindi cha shida ambacho wengine wanakudharau lakini yeye anasimama imara na kuwa na wewe bega kwa bega.Hawa wengine wanaokuja baada ya mafanikio...
9 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadada wa karne ya leo poleni sana, unakutana na mkaka, hb kama vvm anakuomba namba >>> hufikirii sana unasema labda mungu leo kakuona, unatoa namba mnachat sana >>siku ya kwanza >> ya pili...
23 Reactions
68 Replies
6K Views
wasalaam Hongereni kwa kuelekea kumaliza mwaka, na poleni kwa magumu yote. Kijana mwenzenu nimepata changamoto ya kimaamuzi. Naomba msaada kujua kama mwanamke mjamzito aliebakiza wiki mbili hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ashura amejikuta anachezeshewa vitasa non- stop na mume wake jioni hii ya leo baada ya kumwambia mumewe kuwa hana msimamo kama Seleman Jaffo. Mume amedai hilo ni tusi kubwa sana na hawezi...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za weekend wana jamvi? Samahani ninahitaji kufahamishwa mambo kadhaa na waungwana humu kuhusiana na maswali niliyonayo; _Hivi fastjet bado wanaendelea na ile route yao ya kutoka Dar kwenda...
1 Reactions
42 Replies
17K Views
It's a new day a new dawn Another day another blessing On this very special day before the sunrise I want to wish you happy birthday. Just like the day doesn't start without the sun, my life...
11 Reactions
122 Replies
10K Views
Ukiingia mitandaoni utaona baadhi ya watu wakijinadi kusoma vitabu vingi zaidi kwa mwaka huu,vingi vikiwa vya lugha ya kimalkia na majina magumu magumu,vyenye jumbe na tamaduni za tunaoita...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa uzoefu wangu na hali ya maisha ilivyo kwa sasa 95% ya mademu/wadada wanaendekeeza njaa kali kuanzia kuomba kodi , ada,hela ya kusuka, simu , sare za sherehe nk nk....sasa miezi kama minne...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hopefully mko poa Hii thread ni special kwa kuaga mwaka huu 20119 Najua wapo wengi ambao tulipishana kauli iwe direct or indirect, am here to apologize Hawa ni baadhi ya ambao tulipishana...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba tu niandike mazungumzo yangu na huyu dada ambaye alikuwa rafiki yangu kwa muda wa mwaka na nusu sasa. Jana tulivunja urafiki wetu wa mashaka rasmi. YEYE: mambo! Upo wapi? Mimi : just...
20 Reactions
61 Replies
11K Views
Wakuu, habar za weekend. Leo naomba kuuliza wanandoa waliopo humu, hata wale ambao bado mabaharia mnakaribishwa sna maana nyie ndo wahanga wakubwa wa hili suala. Mwanzon munakuwa na mapenzi...
10 Reactions
98 Replies
11K Views
Alan na Chausiku waliishi mtaa mmoja Mbagala. W alipenda na na kuelewana sana. Wote walikuwa wanahangaika na maisha baada ya kumaliza darasa la 12. Alan alisoma St Patrick Primary, Ali kupigwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Utandawazi umekuja na changamoto zake. Ni ukweli ulio wazi kutokana na life struggle tumejikuta wengi wetu hatupati muda mzuri wa kusocialize kwa upana wake kiasi inakuwa ngumu kupata mwenzi na...
11 Reactions
293 Replies
27K Views
Habari wana JF, Mimi ni mwanamke mwenye ulemavu na nina umri wa miaka 45 sasa, nimeolewa nina watoto wawili. Nina miaka 15 sasa tangu niingie kwenye ndoa naona kila siku inavyosonga magumu ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau! Wanawake huwa wananifurahisha sana wanapotulalamikia wanaume kuwa hatuna mapenzi ya dhati. Ukweli ni kwamba "kila mwanaume ana mapenzi ya dhati kwa mwanamke anayempenda kweli", Je...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Asikuambie mtu, michepuko inaumia Sana ikiona familia yako ina furaha. Haijalishi ni michepuko ya jinsia gani. Iwapo utaweka status za familia yako ikiwa na furaha, ujue kuna maumivu upande...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
kwa upande wangu kuna manzi moja hivi ilinivutia sana, inajua mambo yani ile asubuhi tuu kabla hata ya mswaki unapigwa denda mpaka mdomo unakua mwekundu. halafu ni mtu wa kutoa sana, ashanipa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…