Njia sahihi ya kumpata mpenzi wa kweli ni kile kipindi cha shida ambacho wengine wanakudharau lakini yeye anasimama imara na kuwa na wewe bega kwa beg

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,189
39,954
Njia sahihi ya kumpata mpenzi wa kweli ni kile kipindi cha shida ambacho wengine wanakudharau lakini yeye anasimama imara na kuwa na wewe bega kwa bega.Hawa wengine wanaokuja baada ya mafanikio wengi wao wako kibiashara...wanakuwa wanalenga maslai yao kwa mgongo wa mapenzi. Shtuka mkuu..
 
Mkuu mie nilioaga kipindi icho icho Sina nyuma wala mbele.mana sipendi maisha yangu nipendwe kisa ya kitu Bali mie kama mie Nipendwe..
Ile kuoa tu nashangaa natoka kwenye kibarua na kuipata kazi nzuri mpaka Leo hii nashukuru sana kusoma kwangu.
 
Kweli mkuu,aliyevumilia shida ndio mtu sahihi
 
Ndoa sio nyepesi hivyo,kuna watu walioana kwenye magumu lakini leo hawako pamoja tena kipindi cha neema,mpaka unajiuliza inakuaje mtu anakuvumilia kipindi cha shida anakuja kukuvuruga kwenye raha?chunguza hili mkuu mahusiano mengi yanavunjika baada ya mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema pata pesa tujue tabia yako hivyo inawezekana wanambembeleza kipindi hawana pesa Wanaume wengine wakipata huwa jeuri na hawawasikilizi wenzawao SABABU wanajua hela ipo anaweza kumpata yoyote amtakae basi hapo jeuri huzidi na kusahau Wapi ametoka Visa vikizidi mwanamke anaondoka maana Kuna ya kuvumilia mengine hayavumiliki.

Ukitumia nyenzo ulizokabiziwa na mwenyezi mungu hawezi kutokomea kusikojulikana...mwanaume ni kichwa ila mwanamke ni shingo inayozungusha kichwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom