Nimepigwa lakini nimewaokoa

Nimepigwa lakini nimewaokoa

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,687
Reaction score
19,842
Siku za sikukuu sitokagi. Jana nimetoka kuna masela nliwakuta wakawaita mademu flani wawili wakawapa bia wakabadili wakachukua energy. Kuviangalia vitoto yani daah.

Kumbe mmoja anapajua mpaka home (mke wangu mwalimu wake, yupo form 2), baada ya kuongea naye ndio nikajua. Haaaa nkaona msala huu maana jamaa nimewakuta wanapanga wawaleweshe wakawapige together as one (mtungo).

Vikaenda chooni huku na huku nlikuwa naangalia game ya Westham na Bournmouth nageuka hivi, wanawachanganyia sijui na nini kazimwaga zile energy. Haaa mabinti wakalegea balaaa. Angalau mmoja ndiyo kidogo alikuwa anajielewa akaanza kuniambia "Tupeleke nyumbani, sir" Mmmmh!! Sir tena?, ndiyo akaniambia nakuonaga shule unamleta madam.

Yeeeowwiiii nkaona hapa hawa hata wakipata msala hapa au popote na wameleweshwa sijui na vitu gani ntatajwa tu.

Nkaita boda ikaja ile nawapakia varangati ikaanza. Nina nundu na mbavu zinauma kinyamaaa lakini fresh nimewaokoa wale mabinti wanafunzi.
 
Wafungie GPRS maana kuna siku watarudi tu kwa hao hao wanaume.
Kikubwa msala ule nimeumiliki ... Kuna vitu kama ungaunga waalikuwa wanawawekea sasa sijui ni dawa za usingizi au madawa ya kulevya au nini sijui ...lakini walitepeta mnooo ...
 
Lengo halikuwa kuwaokoa mabinti. Lengo lako ilokuwa ni kunusuru msala kwa mkeo. Una roho mbaya Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana babu. Mi ni mtu wa tungi sana, sana yaaani. Lakini sipendagi uhuniuhuni .... Sikumjua wala kuwajua kabla niliemda tu kucheki game bar ya mwana ... Nkakuta meza yao ina gap nkakaaa ... Sasa ile fuata bia fuata bia maana kwenye banda la soka huku huduma ni hafifu ... Nkachukua mzinga ndio nkatulia sasa ..ndio nkaona huo ujinga nkamwaga zile energy ... Hapo majamaa wametoka tena ile wanarudi ndio nimeita boda ... Ooh unatorosha madem zetu huku na kule varangati .. Nkawaambia wanafunzi hawa acheni ujinga nampigia hapa oc cid ndio wakatulia hapo tushavurugana sana ..... Yes kimtindo nilikuwa najikinga na majanga yote ya mbele .
 
Wafungie king’amuzi cha kwenye ubongo wao uwe unawecheki mawazo yao live

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
isee jamaa unaroho mbaya hatar umewabania majamaa riziki isee ....safi sana walivyokutoa manundu...siku nyingine usiingilie business za watu hujui MTU kawekezaje hapo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafungie king’amuzi cha kwenye ubongo wao uwe unawecheki mawazo yao live

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hayo yao huko hata kama walikuwa wanafanyana ni huko na si gonga demu anafahamu basi duuh ... alivyokuwa wimbi yule mmoja na wangekunywa zile nilizomwaga haaaaa .... Watu wangepiga show hatari ....
 
H
isee jamaa unaroho mbaya hatar umewabania majamaa riziki isee ....safi sana walivyokutoa manundu...siku nyingine usiingilie business za watu hujui MTU kawekezaje hapo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa mtoto wa form 2 ndio anaingia form 3 mwaka huu ... Kweli wangeniua hapo ... Mademu wote hawa mtaani!??? Ukagonge mtoto tena kwa kumlewesha utakuwa chizi ..kwanza mtoto akili haijakomaa ,umeshindwa kumtongoza ndio umleweahe sijui na maunga gani yale .... Duuuh hivi uanaume mnafikiri ni kudinda tu ...
 
mtoto was form 2 unamuona mdogo khaaa we jamaa hivi vitoto vinajua mapenzi toka vilivyokuwa shule ya msingi huko....hapo unafikiri ungekutana na bikra hata mmoja?? Fanya kujiupdate mkuu! we mtoto mpaka anajua kwenda Bar unafikri kuna nn hapo?? wameshaanza kitambo mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoto was form 2 unamuona mdogo khaaa we jamaa hivi vitoto vinajua mapenzi toka vilivyokuwa shule ya msingi huko....hapo unafikiri ungekutana na bikra hata mmoja?? Fanya kujiupdate mkuu! we mtoto mpaka anajua kwenda Bar unafikri kuna nn hapo?? wameshaanza kitambo mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kusex na under age (u18 ama mwanafunzi )siwezi ... Siwezi ..... Kama unaweza barikiwa sana ... Mimi siwezi hata kama msela kiasi gani kafanyeni huo upumbavu sipo hapo ... Asee mna roho ngumu sana ..... Kuna msela hapa mwalimu tunampelekea chumvi , sabuni ,sukari yupo hapa magereza .... Alikuwa mbishi hivyohivyo
 
Back
Top Bottom