Hasara za kuchelewa kuoa/kuolewa

Hasara za kuchelewa kuoa/kuolewa

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Namaanisha mdada awe na zaidi ya miaka 32 na kwa mwanaume miaka 40

Hasara zake ni hizi hapa

1. Kwa Wadada:

Menopause now starts earlier. Sifahamu hii hali ni sababu za kimazingira ama nini. Mdada ambaye amechelewa kuolewa huwa ana panic na anakuwa na uwoga wa kupata watoto. Na kitaalamu huwa wana delay kufanikiwa kupata mimba tofauti na wasichana wenye umri mdogo. Mdada mwenye umri zaidi ya miaka 35 also miscarry easily na huwa wanapata tabu sana pindi wakiwa wanazaa.

Pia kama mdada aja olewa mapema, wanakuwa waoga na awapo makini kumchagua mwanaume aliye sahihi (Mr Right) badala yake wengi wanaanguka katika watu siyo sahihi (Mr Available). Wanakuwa wanafanya wrong choice na ndoa zinakuwa failed.

Pindi mke akiwa ameolewe akileta mawazo yake kwa mume, mume anakuwa na wasiwasi labda anajihisi huyo mwanamke (Mke) anamuona as if yeye ni Gold diggers and opportunists hasa akiwa anauwezo wa kutosha.

Vizuri kuolewa mapema na kukuwa na hilo pendo na mtu ambaye mlianza wote kusaka maisha kuliko kumkuta mtu ambaye tayari anamaisha yake mazuri. Hivyo sasa thamani ya mke katika ushauri aipewi nafasi kubwa na ndipo mitikisiko ya ndoa uanza.

2. Kwa wanaume:

Wewe mwanaume wa Kitanzania penda au usipende, ukweli ni kwamba mbegu za kiume pia zimekuwa zimesha pungua (uwezo wa kuzalisha) kutokana na umri. Unanza kulalamikia vyakula na aina ya maisha. Mwanaume pia anaanza kupata uwoga wa kupata watoto na kuanza kujisikia kupata watoto nje ya ndoa.

Kumpata mwanamke wa maisha yako inakuwa ngumu, you're nobody hata ukimwambia mdada unampenda ngumu kukubali, akikubali hapo itakuwa kavutika na pesa zako tu.

Kama utakuwa njema mfukoni, wadada watapigania kupata your attention, making the selection of wife material very difficult.

Kuoa katika umri mkubwa ni kwamba utaweza kwenda sambamba na watoto wako because of generation gap. Wewe utakuwa analogue watoto wako watakuwa digital.

Kuna uwezekano wa kumwacha mke wako akiwa mjane, wewe kutangulia mbeleya haki. Ananza kulipa school fees kwa pesa za pension.

Wapendwa wana MMU, mnakubaliana na mimi?

Kama unakubaliana na mimi ongeza madhara mengine ya kuchelewa kuoa/kuolewa.

Aminia!
 
Ni nani kakwambia kuoa ni amri? Aidha huo umri ulioutoa nani kauweka kama limit? Single life is great, fantastic and enjoyable!

- Hakuna wa kupigizana kelele
- Nakula,nalala,navaa nnavotaka..kokote nnakotaka muda wowote nnaotaka
- Sihangaiki kumridhisha mtu.
- I have my strenghts and focus on other issues,charity,development,fun fun fun
and most of all...I dont have to put up with these corrupted of so called relatioships of these days.........
ahahahaha Happy and proud and praying to be single now and forever
amen! 😛ray2:
 
Mtoa mada, nahisi hii ni miongoni mwa mabandiko ya muhimu,nahis mtoa mada una wajibu wa kupendekeza na miaka ipi sahihi ya mtu kuingia katika taasisi hii izingatiwe kuwa umri hata kama ni number tu ni factor ya muhimu kuzingatiwa pia!
 
Kwani miaka sahihi ya kuoa kwa mwna mme ni mingapi?
 
We una stress zako nahisi sasa unataka pa kuzishushia....nani kakwambia kuoa ni amri? Aidha huo umri ulioutoa nani kauweka kama limit? Single life is Great,Fantastic and enjoyable
-Hakuna wa kupigizana kelele
-Nakula,nalala,navaa nnavotaka..kokote nnakotaka muda wowote nnaotaka
-sihangaiki kumridhisha mtu.
-i have my strenghts and focus on other issues,charity,development,fun fun fun
and most of all...i dont have to put up with these corrupted of so called relatioships of these days.........
ahahahaha Happy and proud and praying to be single now and forever
amen! 😛ray2:
Nikikuangalia machoni naona kabisa yote uliyosema ni kujidefend tu.... you are not real at all!!!!!
 
Mnamshambulia mtoa mada badala ya kuishambulia mada!......watu mlio na miaka 27-33 manona 40 ni miaka miiingi!...lol life begins at 40 wandugu!
 
kwani miaka sahihi ya kuoa kwa mwna mme ni mingapi ??

I have never thought of age into consideration until its too old or too young!!!!

so the best time to me is the time when one feels ready for the journey of "no return". !!!!!
 
We una stress zako nahisi sasa unataka pa kuzishushia....nani kakwambia kuoa ni amri? Aidha huo umri ulioutoa nani kauweka kama limit? Single life is Great,Fantastic and enjoyable
-Hakuna wa kupigizana kelele
-Nakula,nalala,navaa nnavotaka..kokote nnakotaka muda wowote nnaotaka
-sihangaiki kumridhisha mtu.
-i have my strenghts and focus on other issues,charity,development,fun fun fun
and most of all...i dont have to put up with these corrupted of so called relatioships of these days.........
ahahahaha Happy and proud and praying to be single now and forever
amen! 😛ray2:

WEWE MDADA HAYO MAHUSIANO UNAYOYASEMA YALIKUWA RASMI AU?WAZAZI WAKO WANGEKUWA SINGLE UNGETOKA WAPI NA HAYO MAJIVUNO YAKO HAPO JUUU..

Hakuna wa kupigizana kelele
-Nakula,nalala,navaa nnavotaka..kokote nnakotaka muda wowote nnaotaka
-sihangaiki kumridhisha mtu.UNAMRIDHISHA MNYAMA HATA FAMILI YAKO HAIJUI?DADA YAKO BABA YAKO AU..ANGALI USIANGUKE KUADOPT WATOTO KWENYE VITUO VYA WATOTO YATIMA NA KUONGEZA IDADI YA LESIBIAN
-i have my strenghts and focus on other issues,charity,development,fun fun fun---WHAT ARE THOSE ISSUES AMBAZO HAZINA UTEGEMEZI WA MAHUSIANO.UNAJIDANGANYA
and most of all...i dont have to put up with these corrupted of so called relatioships of these days.........WEWE HUONI KWAMBA KAMA KIJANA NI CHANZO CHA HAYO CORRUPTED RELATIONSHIP OF THESE DAYS?
 
Skia Nashukuru maana halisi ya kujivuna sio hiyo....nilichosema hapo ni mambo ambayo any single individual ana experience hakuna lolote linaloashiria majivuno....najua we labda unaweza kuwa ni victim wa arranged marriages.. nakupa pole kwa hilo na wote walio na situation kama yako...ila ni kweli ukiwa peke yako ndo lifestyle inakua hivo sasa kwanini nidanganye?

afu one thing...mi ni male bana..sio lady.
 
Nikikuangalia machoni naona kabisa yote uliyosema ni kujidefend tu.... you are not real at all!!!!!

hahhahaha afu baada ya kusoma coment yako na kuangalia avatar yako machoni nimebaki nacheka..ahahha i'm for real!!!beat that!
 
Skia Nashukuru maana halisi ya kujivuna sio hiyo....nilichosema hapo ni mambo ambayo any single individual ana experience hakuna lolote linaloashiria majivuno....najua we labda unaweza kuwa ni victim wa arranged marriages.. nakupa pole kwa hilo na wote walio na situation kama yako...ila ni kweli ukiwa peke yako ndo lifestyle inakua hivo sasa kwanini nidanganye?

afu one thing...mi ni male bana..sio lady.

KWA MARA YA KWANZA KUMUONA MKAKA HUMU JF AKITOA MCHANGO HUU SAMAHANI LAKINI
Nakula,nalala,navaa nnavotaka..kokote nnakotaka muda wowote nnaotaka
 
Ila ndoa muhimu jamani. Wengine hapo mnajidai single and happy, moyoni mnaungulia kwa kukosa wa kuwaweka ndani
be real guys, kuchelewa kuoa sana kuna hasara zaidi ya faida.

Watoto wanakuwa wajukuu halafu wanakuwa na uwezo mdogo wa akili.

OA/OLEWA katika reasonable age.
 
@mandieta,

Piga hesabu, Mtoto form one atakuwa ana miaka 14. Je Baba atakuwa na miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom