Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

M2WAWA2

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
3,284
Reaction score
5,632
Awali nilikuwa nikisia kama simulizi flani, lakini kuanzia miaka ya 2015 mpaka sasa, nime shuhudia na kuthibisha hizi taarifa za wana ndoa kujenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua kuwa ni za kweli.

Wengi katika hawa nilio waona ni wanawake, kwani Kupitia hizi saccos au vikoba wana kopeshana huko na kuingia kwenye huu uwekezaji.Nimeona kwa majirani, nimeona kwa marafiki, na nimeona kwa kampuni zinazo uza maeneo kwa mikopo.Wana nunua maeneo/viwanja kwa mikopo na wanalipia kidogo kidogo bila mume kujua.
Pia kuna hili la waangalizi wa nyumba (walinzi) kuwa wamiliki wa nyumba baada ya wenye nazo (walio jenga kwa siri) kufariki.

Je sababu ni nini?

1. yawezekana ndoa za sasa hazina utulivu kiasi watu wana amua kujihami?
2. Yawezekana ni kutokana na mwanamke kuwa ni mtafutaji na yeye?

Yawezekana hata wewe unajua sababu kadhaa wa kadhaa, ebu tushirikishane. Kuna mtu anaweza saidika...
Karibu
 
Ukigundua mkeo anajenga chumba kwa siri hata usimwulize.. hata aikijua unajua usijaribu kumwuliza..

Sema mwanamke wa hivyo anaweza kukuua kwa siri pia
Awali nilikuwa nikisia kama simulizi flani, lakini kuanzia miaka ya 2015 mpaka sasa, nime shuhudia na kuthibisha hizi taarifa za wana ndoa kujenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua kuwa ni za kweli.

Wengi katika hawa nilio waona ni wanawake, kwani Kupitia hizi saccos au vikoba wana kopeshana huko na kuingia kwenye huu uwekezaji.Nimeona kwa majirani, nimeona kwa marafiki, na nimeona kwa kampuni zinazo uza maeneo kwa mikopo.Wana nunua maeneo/viwanja kwa mikopo na wanalipia kidogo kidogo bila mume kujua.
Pia kuna hili la waangalizi wa nyumba (walinzi) kuwa wamiliki wa nyumba baada ya wenye nazo (walio jenga kwa siri) kufariki.

Je sababu ni nini?

1. yawezekana ndoa za sasa hazina utulivu kiasi watu wana amua kujihami?
2. Yawezekana ni kutokana na mwanamke kuwa ni mtafutaji na yeye?

Yawezekana hata wewe unajua sababu kadhaa wa kadhaa, ebu tushirikishane. Kuna mtu anaweza saidika...
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa Sana pale mwanaume unapoanza au unapotaka kushindana na mwanamke.

Daima yakupasa kuelewa kuwa huyo mke uliyemuoa amekuja tu hapo au anaendelea kuishi hapo kwa ajili ya kulea hao watoto.

Kwa hiyo na wewe mwanaume pambana na ujenge nyumba zako kwa Siri na sio kubaki kulalamika lalamika Kama mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yameanza si miaka mingi sana iliyopita
Kuna kisa kimoja nakijua jamaa alikuwa na biashara yake na mke wake akimsaidia pindi anapoendea mzigo mpya
Siku moja akaijiwa na jamaa wawili na kumkuta mwenye duka yupo dukani peke yake
Wakamuuliza mama Fulani tumemkuta?
Jamaa akawaambia hayupo amesafiri kaenda kwao
Kwa hasira wakageukiana na kusema sasa itakuwaje
Kabla hawajaondoka jamaa akawauliza kwani kuna shida gani
Wakamwambia usijali
La ikabidi awabane na kusema lazima mniambie kuna nini baina yenu
Mwisho wakamwambia tumepungukiwa misumari ili tumalizie bati
Wapi?
Kwenye nyumba yake
Iko wapi?
Twende
Mwisho wake ulikuwa mbaya

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ndoa nyingi za siku hizi hazina upendo na uaminifu. Wanandoa wanawaamini ndugu zao zaid kuliko wenza wao

1.Mume/mke akijenga nyumba au kiwanja anaandika majina ya ndugu zake badala yake au ya wanae
(Wao wanaamini wakiachana hakuna kugawana mali pasu kwa pasu)

2. Wanaamini mmoja atafariki kabla ya mwenzir hivyo hataki mateso anaona bora awe na mali yake pembeni
 
Mie niliolewa mwaka mmoja na wifi angu!akaniambiaga hizi ishu oya hakikisha unajenga nyumba yako ww km ww!ukwel sikua naelewa anamaanisha nn!yaan nikawa namuona muuaji fulan hv yaan sijui nisemeje🤣! Yy akajenga after 3yrs jumba jumba kweli🤣! Anayejua ni mamake!mishe zote ni mama tu na friends wachache!
Uzuri ana siri huyo..mm siwez..nna hasira !
 
Massaiboi achana na hii mada wewe haikuhusu. Nyie zenu tembe kwenye boma zenu. Just joking!
Kama siyo mwizi wala sitamuuliza kitu, tena naweza mpa zawadi ya nyumba nyingine ziwe 2. Ila nadhani wengi wanaofanyiwa hivi ni ile mianaume chapombe isiyopenda maendeleo ya familia, wao ni pombe na vimada

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom