Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naongea kwa uzoefu hivyo usije ukaja tu majibu yako ya ina tegemea, let's be realistic with what we have been experiencing. Kabla huja-comment refer to yourself, your friends or your relatives who...
4 Reactions
137 Replies
18K Views
Hivi Kwa nini siku hizi Wadada wetu wanapenda kujisendoff kutoka Kwa familia yao hata kabla ya Muda kufika? Je ni kutokana na Utandawazi? au Mihemuko ya Mungiliano wa Uhuru Jinga? Mifano Michache...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
NIMECHELEWA, YAMENIKUTA. Na. Robert Heriel. Nitaficha wapi uso wangu. Wapi nitajificha nisionekane. Dunia imenigeukia. Walimwengu wananicheka. Ndugu, jamaa na marafiki wamenikimbia...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Binti anaanza ngono kuanzia miaka 12 hadi miaka zaidi ya 20 na utitiri wa wanaume hadi kuta za uke zinalegea baadae akiolewa anaanza oo..h eti mwanaume huyu ana kibamia. Uke umeulegeza mwenyewe...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
*Tambua SHERIA hizi juu ya MTOTO na MALEZI kwa wazazi WALIOACHANA/TENGANA...* 1. Sheria haimlazimishi baba kutoa malezi ya mtoto ikiwa baba hana kipato cha uhakika na mama anacho. 2. Ikitokea...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
1. JUMATATU. Mnakutana na unamuomba NAMBA YA SIMU. 2. JUMANNE. Unamtongoza.. Majibu yake ni usumbufu, kauli mbiu yao "WANAUME WOTE WAONGO"..."WANAUME BABA YAO MMOJAA" Mwanaume unachoka usumbufu...
8 Reactions
64 Replies
6K Views
Barbie Santos October 29, 2019 I love this analogy! You are holding a cup of coffee when someone comes along and bumps into you or shakes your arm, making you spill your coffee everywhere. Why did...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna sababu nyingi kwa vijana kutoingia kwenye ndoa. Lakini sababu zinazojulikana zaidi ni hitaji la kifedha, kujiandaa binafsi, na ukosefu wa mwenza anayefaa. Sababu hizo mbili za mwisho...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Ni mara nyingi nimekuja kwenu kuhusiana na wife wangu. Kwa kweli nimepata darasa kubwa sana kwenu, hakika nikajihisi nimetua mzigo fulani. Kama nilivyoeleza kwenye baadhi ya thread kuwa...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna mambo ya ajabu sana sisi wanaume hufanya ndani ya maisha ya ndoa. Utakuta mtu umeoa na unandugu zako ila chaajabu mambo yako ya msingi katika maisha unamshirikisha zaidi rafiki yako kuliko...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
2020 (twenty twenty) Ndo hiyo imeingia, tukiwa na afya njema kabisa. Juzi tarehe moja nikaona ngoja nikatongoze kale kabinti kanakotembeza juisi pale kazini kwetu ili nianze mwaka na Kamanzi...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Mchana nimegombana na mke wangu mpaka sasa hajarudi na sijui yuko wapi, nikimpigia simu hapokei, je nimtafute au nimuache atarudi mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
962 Views
Kheri ya mwaka mpya wakuu! Najiuliza hapa, huu ukatili kwa hawa malaika wasio na hatia mnawezaje kuwafanyia? Tena yawezekana mama zao mliwatongoza kwa kuwabembeleza sana mpaka wakawakubalia at...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Dada mmoja ametueleza hiki kisa kimemsononesha sana Anasema"Huyo kaka alimtongoza miezi 4 iliyopita na baada ya kumkubalia waliendelea kukaa kwenye mahusiano kwa kipindi hicho chote bila sex...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ladies, Virtually all men suffer from the same problem. Sexual attraction isn’t something to be ashamed of nor something to attempt to control. Your body wants things, and the only question is...
1 Reactions
361 Replies
21K Views
Huyu mdada moja ya sababu ambayo ilinifanya nimpende ni kuwa ana huge boobs yaani matiti makubwa. Mimi huyapenda hayo na hasa niliwaza kuwa akijifungua mtoto wetu hatopata shida ya maziwa. Lakini...
13 Reactions
103 Replies
12K Views
Kwenye kugegedana wakati wazungu wanatoka mngependa wazungu watumie dakika ngapi kutoka nje,Mimi nachoshwa na hizi sekunde siridhiki kabisa,Ni Kama pombe wengine bia mbili wengine creti...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwenye hiyo Leseni ya gari amepata ajali na kupoteza maisha. Mwili umehifadhiwa hospitali ya wilaya Same Kilimanjaro. Jr[emoji769]
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Kama heading inavosema wakuu kuna wadada watano wanataka niwenao kimapenzi. Kuna mmoja Niko nae Ila sielewi kabisa kinachoendelea. Sasa wapo hawa wanne, wa kwanza kanizidi umri na kipesa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Yan kwanini mtu afanye hivyo? Au kwanini mtu apindue kimguu chache? Kwanini mtu aachie sehemu ya maziwa wakati wa kupiga picha? Kwanini? Kwanini?
5 Reactions
25 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…