Ndoto yangu ya leo

Ndoto yangu ya leo

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,693
Reaction score
7,305
Yaan usiku wa Jana kuamkia leo in my bed nilimuota mdada fulani ambae ni jirani yangu hv kimtindo hapa mtaani..
Ni binti mzuri Ila actual sijawahi kuwa na mazoea nae hata jina lake silifahamu, of course hata langu pia halijui.

Ila nimeshangaa leo hii nimemuota huyu dada usingizini, yaani tuko story kwa wingi romance saaaaana, yaani zile za wapenzi hadi nimedata. But ikumbukwe ni binti ya Kirangi from New City ana rangi kama mzijuavyo rangi za Kirangi sembuse imeingia kwa jinsi "KE", yaanI hatari hata mie Shombe la Kisomali kanizidi. Ukija kwenye her hair ni full black kama zimegongwa Pico/Superblack.

Sasa leo hii mida fulani niko kwa way naelekea kwenye mishe zangu si nikakutana nae aisee, mtoto mara "Mambo, kaka? Waenda wapi?"

Duuh ndo chokochoko likaanzia hapo. Yaliyoendelea huko mbele yasiyaweki hapa Ila enventually naondoka pale dogo kachukuwa my phone number.

Sasa wadau hadi nimepigwa na butwaa, yaani nimeamini hzi ndoto tuziotazo zinamaana kubwa sana/ it represent future events. So leo nimethibisha hilo but yatakayojiri baada ya hapa nitawaletea mrejesho wadau, ama vepe!
 
Back
Top Bottom