Kuna maisha baada ya kutalikiana

Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,322
2,000
Wapendwa katika Bwana, poleni na majukumu


Yangu ni machache kwa leo. Huenda nikipata kibali mbele za bwana siku za mbeleni nikaja kuandika zaidi ila kwa leo nawasihi:

Mnapoona mapenzi yamefika mwisho msilazimishe, achaneni kwa wema Huku kila mmoja akiwa hana hasira wala kinyongo na mwenzie. Kuna maisha baada ya talaka.

Niwatakieni kila la kheri walio kwenye ndoa salama wale ambao mpo kwenye ndoano pia niwatakie mwisho mwema


Sent using jamii forums mobile app
 

client3

JF-Expert Member
Aug 6, 2007
2,188
2,000
Amen. Na ukiona unamchukia mtu ujue bado unampenda😂😂 ila kuna vikwazo vya kuwa naye!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom