Mwaka 2020 na Mauza uza yake 2019 ulinitoa Machozi mara Kadhaa

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Heri ya mwaka mpya ndugu zanguni? Mimi nlikuwa Hotel flan nmepumzika huko chini ya bahari na familia yangu maana mwaka huu mzee alisema tutaingia tukiwa chini ya maji.so toka tarehe 30/12/19 mpaka 02/01/2020 tulikuwa tumepumzika tu hukon tunacheck samaki na viumbe kadhaa tuki enjoy na binadamu wa dunia ya kwanza waliobarikiwa.

Wadau mwaka 2020 tuacheni mauza uza ya mwaka 2019. Tubadilike.leo asubuhi nlikuwa nawasiliana na jamaa yangu yupo TZ.ananambia anataka mwaka 2020 aoe.nikamuuliza kwenye account una tsh ngapi?

Sikutegemea angejibu kipuuzi namna ile maana huwa namwona mtu smart.eti ana tsh mil 12. Nikamuuliza then unataka uoe una mil 12 why ukamtese mtoto wa watu?

Hivi una mil 12 unaoa ili iweje?harusi unataka iweje?jamaa namfaham kamshahara kake ni tsh mil 5.8 kwa mwezi. Halafu anataka aoe.haya ni mauza uza kabisa.

Vijana msioe kwa fashion.kama hujajipanga acha.usije enda mtesa mtoto wa watu.ukapata dhambi bure.

Mtu una date msichana huwezi hata mtumia 200,000 ya vocha kwa week. Akikuomba pesa ana shida unazima simu.sasa unataka uwe naye ili iweje?kama huna uwezo si ubaki single mpaka ukizipata pesa?

Mwaka 2020 hata uwezo wetu wa kufikiri ubadilike. Week flani nlikuwa UK jamaa yangu badala ya kuniuliza mambo ya maana ananiuliza eti UK Subaru wanauza tsh ngapi?very stupid question.Subaru ndo la kuulizia UK?

Watanzania tuanze ku think big.ulizia magari yapo huku Ulaya na Marekani.jipange kwa makubwa utende makubwa. Mimi kuna Range moja katika zile mbili imefikisha 3 years now. Nauza mpaka sasa nmeshapata mteja ambaye ni Mbunge.

Nlimwambia ndo gari ya kutembelea maana bahati nzuri naye kaiona anashangaa ananambia utadhani imetoka Japan jana. Nlimwambia siyo Japan ni Uk.

Unataka kuoa mama mkwe wako anatembelea Toyota. Unadhani wewe unaonekanaje?hata kusema "mama zawadi yako hii " ukamchukulia BMW /Benz akawa naye anaendesha gari.unadhan hapo akisikia mtoto wake anakusumbua hatotishia hata kumnyonga au kummeza kumrudisha tumboni akakuzalia mwingine mtulivu na msikivu?kila anapoendesha gari akikaa kwenye kiti ni kama amekukalia wewe. Anatabasamu tu.

Mwaka 2020 tuoe kwa fedha zetu.acheni uswahili wa kuchangishana michango.huyo mke tutalala naye sote?sasa why uchangishe michango ya harusi?kama haupo tayari kuoa acha.unaenda pata starehe wewe siyo sisi.

Hivi mfano mwaka jana nlivyomchangia jamaa zaidi ya mil 7 kwenye harusi na offer ya kwenda honey moon dubai.nikiomba nami kumake love na mkewe ataninyima?si nmeechangia?

Mimi nlishawaambia jamaa kuwa utaratibu wa kuchangishana pesa umepitwa na wakati. oa kwa pesa yako mke awe wako.usitake tukuchangie then siku ukikuta tunamnanii unalalamika wakati nasi tulichangia.why hutaki tuendelee kukuchangia hata mbegu kwa mkeo?

Anyway.mi nasisitiza vijana wenzangu.kama hutaki kujenga nenda kwenye apartment lipia miaka 5-10 kama those people are ready au nunua kabisa. Nunua magari yako Matatu moja la mke, lako na la watoto.

Hakikisha una cash flow ya kutosha siyo ya mawazo mawazo.shughuli zako zisitegemee sana hizi serikali zenu za kiafrika zinazoyumba yumba.

Tafuta mwanamke mzuri mwenye akili.nenda kampime afya na akili pia.angalia kama atakupatia watoto wazuri.oa.mkabidhi gari yake na card ya mafuta Total.basi. mwambie wewe unataka ahakikishe unakula vizuri na unapata penzi zuri.aseme anachotaka utampa.

Huyo akianza kuku cheat muulize anakosa nini kwako.then mruhusu aondoke aende huko anako cheat.maana atakuwa hana akili.

Usikae miezi mitatu na mkeo hujaenda naye hata hapo Dubai tu kupumzika weekend.kama maskini sana nenda naye hata South Afrika.ndo maisha yalivyo.

Mwaka 2020 tuanze upya ndugu zangu wanaume. Acheni kuwatesa wanawake.unamwachia tsh 20,000 ya matumizi kwa siku then unakuja kuuliza change.wewe upo sawa kweli kichwani? Mwisho wa mwezi mpe mkeo 1,000,000 akanunue mahitaji ya home. Then baada ya hapo unamwachia 50,000 kila siku kama dharura and ukirud huulizi alitumiaje.

Kwa mwanamke mwenye akili utajua na asiye na akili pia utamjua tu.mwanamke hapigwi makofi.akikuudhi unaondoka unaenda zako nje ya nchi peke yako hata kwa siku mbili.ukirudi unamletea zawadi chache tu unaweka kitandani humsemeshi.

Akikuudhi tena this time unasafiri week nje ya nchi peke yako.ukirudi unajinunulia gari kali peke yako.simu ya thamani,ipad n.k halafu vile vya zamani. Unampa house girl au mdogo/ndugu wa mkeo avitumie.

Basi.huna haja ya kujibishana na mwanamke vibaya.mpende akupende.

Nasisitiza mwaka 2020 OA MWENYEWE. USITAKE TUOE SOTE MAANA TUKIKUSAIDIA KUOA USISHANGAE TUKIJA PIA KUTAKA KUKUSAIDIA KUNANII MKEO.

HERI YA MWAKA MPYA.
 
Natamani hata kufanya fujo.
Ni mwaka na miezi ya kutosha 'mme'wangu kila siku ananiambia atanipeleka dar mwezi ujao. Kila siku mwezi ujao.
Sasa sijui South Africa atasema 'karne ' ijayo au vipi.
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zanguni? Mimi nlikuwa Hotel flan nmepumzika huko chini ya bahari na familia yangu maana mwaka huu mzee alisema tutaingia tukiwa chini ya maji.so toka tarehe 30/12/19 mpaka 02/01/2020 tulikuwa tumepumzika tu huko tunacheck samaki na viumbe kadhaa tuki enjoy na binadamu wa dunia ya kwanza waliobarikiwa.

Wadau mwaka 2020 tuacheni mauza uza ya mwaka 2019. Tubadilike.leo asubuhi nlikuwa nawasiliana na jamaa yangu yupo TZ.ananambia anataka mwaka 2020 aoe.nikamuuliza kwenye account una tsh ngapi?

Sikutegemea angejibu kipuuzi namna ile maana huwa namwona mtu smart.eti ana tsh mil 12. Nikamuuliza then unataka uoe una mil 12 why ukamtese mtoto wa watu?

Hivi una mil 12 unaoa ili iweje?harusi unataka iweje?jamaa namfaham kamshahara kake ni tsh mil 5.8 kwa mwezi. Halafu anataka aoe.haya ni mauza uza kabisa.

Vijana msioe kwa fashion.kama hujajipanga acha.usije enda mtesa mtoto wa watu.ukapata dhambi bure.

Mtu una date msichana huwezi hata mtumia 200,000 ya vocha kwa week. Akikuomba pesa ana shida unazima simu.sasa unataka uwe naye ili iweje?kama huna uwezo si ubaki single mpaka ukizipata pesa?

Mwaka 2020 hata uwezo wetu wa kufikiri ubadilike. Week flani nlikuwa UK jamaa yangu badala ya kuniuliza mambo ya maana ananiuliza eti UK Subaru wanauza tsh ngapi?very stupid question.Subaru ndo la kuulizia UK?

Watanzania tuanze ku think big.ulizia magari yapo huku Ulaya na Marekani.jipange kwa makubwa utende makubwa. Mimi kuna Range moja katika zile mbili imefikisha 3 years now. Nauza mpaka sasa nmeshapata mteja ambaye ni Mbunge.

Nlimwambia ndo gari ya kutembelea maana bahati nzuri naye kaiona anashangaa ananambia utadhani imetoka Japan jana. Nlimwambia siyo Japan ni Uk.

Unataka kuoa mama mkwe wako anatembelea Toyota. Unadhani wewe unaonekanaje?hata kusema "mama zawadi yako hii " ukamchukulia BMW /Benz akawa naye anaendesha gari.unadhan hapo akisikia mtoto wake anakusumbua hatotishia hata kumnyonga au kumrudisha tumboni akakuzalia mwingine mtulivu na msikivu?kila anapoendesha gari akikaa kwenye kiti ni kama amekukalia wewe. Anatabasamu tu.

Mwaka 2020 tuoe kwa fedha zetu.acheni uswahili wa kuchangishana michango.huyo mke tutalala naye sote?sasa why uchangishe michango ya harusi?kama haupo tayari kuoa acha.unaenda pata starehe wewe siyo sisi.

Hivi mfano mwaka jana nlivyomchangia jamaa zaidi ya mil 7 kwenye harusi na offer ya kwenda honey moon dubai.nikiomba nami kumake love na mkewe ataninyima?si nmeechangia?

Mimi nlishawaambia jamaa kuwa utaratibu wa kuchangishana pesa umepitwa na wakati. oa kwa pesa yako mke awe wako.usitake tukuchangie then siku ukikuta tunamnanii unalalamika wakati nasi tulichangia.why hutaki tuendelee kukuchangia hata mbegu kwa mkeo?

Anyway.mi nasisitiza vijana wenzangu.kama hutaki kujenga nenda kwenye apartment lipia miaka 5-10 kama those people are ready au nunua kabisa. Nunua magari yako Matatu moja la mke, lako na la watoto.

Hakikisha una cash flow ya kutosha siyo ya mawazo mawazo.shughuli zako zisitegemee sana hizi serikali zenu za kiafrika zinazoyumba yumba.

Tafuta mwanamke mzuri mwenye akili.nenda kampime afya na akili pia.angalia kama atakupatia watoto wazuri.oa.mkabidhi gari yake na card ya mafuta Total.basi. mwambie wewe unataka ahakikishe unakula vizuri na unapata penzi zuri.aseme anachotaka utampa.

Huyo akianza kuku cheat muulize anakosa nini kwako.then mruhusu aondoke aende huko anako cheat.maana atakuwa hana akili.

Usikae miezi mitatu na mkeo hujaenda naye hata hapo Dubai tu kupumzika weekend.kama maskini sana nenda naye hata South Afrika.ndo maisha yalivyo.

Mwaka 2020 tuanze upya ndugu zangu wanaume. Acheni kuwatesa wanawake.unamwachia tsh 20,000 ya matumizi kwa siku then unakuja kuuliza change.wewe upo sawa kweli kichwani? Mwisho wa mwezi mpe mkeo 1,000,000 akanunue mahitaji ya home. Then baada ya hapo unamwachia 50,000 kila siku kama dharura and ukirud huulizi alitumiaje.

Kwa mwanamke mwenye akili utajua na asiye na akili pia utamjua tu.mwanamke hapigwi makofi.akikuudhi unaondoka unaenda zako nje ya nchi peke yako hata kwa siku mbili.ukirudi unamletea zawadi chache tu unaweka kitandani humsemeshi.

Akikuudhi tena this time unasafiri week nje ya nchi peke yako.ukirudi unajinunulia gari kali peke yako.simu ya thamani,ipad n.k halafu vile vya zamani. Unampa house girl au mdogo/ndugu wa mkeo avitumie.

Basi.huna haja ya kujibishana na mwanamke vibaya.mpende akupende.

Nasisitiza mwaka 2020 OA MWENYEWE. USITAKE TUOE SOTE MAANA TUKIKUSAIDIA KUOA USISHANGAE TUKIJA PIA KUTAKA KUKUSAIDIA KUNANII MKEO.

HERI YA MWAKA MPYA.
Yaaan nilipoanza kusoma sikusoma ID yake ila baada ya kusoma nikacheka saana kila la kheri kiduku furaha jipe mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sister achana naye huyo.anakupotezea muda.huyo amekuoa ili umzalie watoto.hakufai.olewa na mtu ambaye amekuoa ili mka enjoy life pamoja. Mwambie ajipange.akiwa tayari akutafute.pole sana sister.ndo maana nawaambia vijana wasikimbilie kuoa.huyo kukupeleka south afrika ukapumzishe akili itakuwa karne ijayo kweli.

Natamani hata kufanya fujo.
Ni mwaka na miezi ya kutosha 'mme'wangu kila siku ananiambia atanipeleka dar mwezi ujao. Kila siku mwezi ujao.
Sasa sijui South Africa atasema 'karne ' ijayo au vipi.
 
Ukute uko sebuleni kwa shemeji yako, umekaa kwenye sofa mguu mmoja juu meza na mkononi umeshika glass ya Juice ya Embe .. Huku mkono mwingine ukiwa umeshika rimoti ya king'amuzi Cha Startimes ukiangalia tamthilia za kichina...

Halafu unakuja hapa kuhadaa wanaume wahangaikaji wakati unaishi huko Maramba-Mawili kwa shemeji yako ukinufaika kwa hisani ya Dada yako na kulala sebuleni kwenye sofa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu akikuchukulia serious na unayoyaandika unaweza ukamkufuru Mungu bure kumbe ww ni wenzangu na mm tu au hata labda nimekuzidi maisha.Mwenye nacho skuzote hajiproud yuko kimya.

Sent using [ ]
 
Back
Top Bottom