Nimegundua nikichati na Mwanamke huku ananitumia picha zake, hayapiti masaa mengi ataomba hela

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
QUID PRO QUO

NIPE NIKUPE

HASA MWEZI HUU

Nimekuwa na tahadhari sana kujibu meseji za Wanawake ambao wanaanza kukutafuta wenyewe kwenye simu, kwa Emoji nyingi za Vicheko huku Wakituma picha zao - hasa picha wakiwa Uchi

Kila nikijibu meseji za namna hiyo, au nikasifia picha iliyotumwa, haimaliziki Siku kabla sijaletewa Bill mezani,

MARA GESI IMEISHA MME WANGU YUKO KWENYE MAFUNZO NISAIDIE...

Mara Nisaidie Kodi

Mara nisaidie nikafanye Interview Sijui wapi huko..

Mara Nataka nikawaone Wazazi

Mara Graduation yangu Keshokutwa

Mara hivi mara vile ilimradi kero

Na si kwamba hawa watu hawana kazi kabisa, Wengi wana kazi nzuri na Wanalipwa vizuri tu

So nao niko makini sana kusoma kila meseji between the lines! WANAWAKE WAKO KIMASLAHI ZAIDI KULIKO TUNAVYOWACHUKULIA, Hawa ndugu zetu si wajinga!

HALI INATISHA KWA KWELI!
 
Nina ka-Tecno kangu halafu ananiomba eti nimnunulie iPhone X kama zawadi ya birthday yake. Uajua ni malipo ya nini 😂 😂 😂 😂 😂

Kisa kanitumia picha ya matit* na kiuno chake basi nilipie iPhone X.

Ladies sijui huwa mnatuona wanaume wajinga hivi.
 
Kwamba atafute pesa ili akitumiwa picha apate za kuwapa?

Mentor gani anakupa hii formula mzee baba?

Nasemajeeee tafuteni hela muache kulialia, kuna demu linasema sasa ni mwendo wa hela eti limewahi kuishi kwenye ‘shida na raha’ likaishia kupauka tu. cc: Shamsa Ford.
 
Nasemajeeee tafuteni hela muache kulialia, kuna demu linasema sasa ni mwendo wa hela eti limewahi kuishi kwenye ‘shida na raha’ likaishia kupauka tu. cc: Shamsa Ford.
Nadhani wewe ndiyo bado mshamba wa mapenzi... wanaoumizwa kwenye pesa utawashauri watafute pesa nao.

Pesa hii ni pi kuna watu kwao sio hoja maana ipo au inatafutwa.
 
Back
Top Bottom