TAHADHARI. Huyu hapa kiumbe mwenye hasira na gadhabu kuliko viumbe wote

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Salaam,
Mwanamke mwenye kaelimu na kaajira afu ni 30 years plus hajaolewa na ni single mama aise aise kosea watu wote ila sio huyu kiumbe. Hususani kama wewe ni mwanaume uliyeoa aise hata umkosee jambo dogo tu utajuta.

Kuna muadhiri chuo kimoja cha serikali mwanamama kama wa 35 hajaolewa kazalishwa watoto wawili alikua supervisor wangu wa research ebwana eeh alishataka kunifukuzisha chuo kisa simu iliita nikiwa ofsin kwake, aliwaka mpaka mate yanamruka mdomoni "wanaume wajinga sana mnadharau huku hamna lolote, wewe hufikii hata chembe ya hela yangu bank" mwanamama alifoka na research akachana waliokuwepo wengine akawafukuza akapanda gari yake na kuondoka kwa mwendo wa ambulance.

Kuna mwanamke yuko ofisini kwetu ana 30 hajaolewa kazalishwa, kila siku lazima atibuane na wafanyakazi wenzake, kuna siku nilipata mgeni nikachukua kiti chake na kumkaribisha mgeni aliporudi akakuta nimekaa na yule mgengi aise povu nililopata siku hyo lingetosha kufulia nguo za makondakta wa daladala wote na akiba ikabaki ya povu.

Juzi nilikua kwenye kwenye basi la mkoani jamaa mmoja alikua anakunywa maji chupa ikamponyoka na kumwagikia maji kidogo kwenye gauni ya dada mmoja (badae nilikuja kugundua ni mhasibu bank moja hapa town na hajaolewa ila kazalishwa tu) aise mama yangu, sasa hii ndo ilikua funga kazi, dada alitukana kama nusu saa nzima badae akachanganya wanaume wote akianza na dereva tukana sana wanaume wote tukapewa vidonge kila mmoja kwa awamu yake mpaka alipokithiri akashushwa.

ANGALIZO: kama ukitaka kucomment hapa uwe umeolewa sio uje hapa na mastress yako kuja kujimwambafai hapa please R.I.P Relax In Peace.
 
Awe ni Nshomile au Nshaga

Awe amesoma LLB na School of Law

Awe anajua habari ya 50/50, dirisha la jinsia na Ustawi wa jamii

Awe anaaishi peke yake

Halafu awe hajapata kazi anasota tu

Sasa mzoee au mhakikishie kumuoa uje kumzingua au akukute na mwingine.

Ndio utajua kuwa muwa ni tunda ama mbogamboga.
 
Aisee kumbe
 
Yan usiombe ukutane naye huyo mtu ni hatari sana
 
Kwani single mothers wamewakosea nini enyi wanaume?
 
Awe ni Nshomile au Nshaga

Awe amesoma LLB na School of Law

Awe anajua habari ya 50/50, dirisha la jinsia na Ustawi wa jamii

Awe anaaishi peke yake

Halafu awe hajapata kazi anasota tu

Sasa mzoee au mhakikishie kumuoa uje kumzingua au akukute na mwingine.

Ndio utajua kuwa muwa ni tunda ama mbogamboga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom