mwamba_ngori
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 251
- 295
Jaman kuna mdada hapa mim sijui hata nitumie njia gan kumpata nampenda serious na nimesha mpa maneno na mistar ya kila namna lakin ni mgumu ile mbaya yani.
Sio kwamba mim na sura mbaya amna ni mvulana wa kawaida tu na wala sio kama nina kazi mbaya amna nina kazi nzuri tu na huyo msichana yupo single lakin hanitaki kabisaa ni week 3 sasa nasumbuana nae wakuu nipeni njia za kumnasa huyu dem mgumu.
Sent using Jamii Forums mobile app