MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,361
Zile nyeti bandia za kiume zimepata soko kubwa sana jijini Dar es salaam katika siku za hivi karibuni na hata kutishia ustawi wa biashara nyingine nyingi, mahitaji ya nyeti hizo yamekuwa makubwa sana kuliko hapo mwanzo,gazeti la Tanzania Daima limeripoti.
Pia hali hiyo imeenda sambamba na mahitaji ya mafuta ya kulainisha nyeti za kike pamoja na dawa za kukuza makalio kwa wale dada zetu wa mjini.
Source:Tanzania Daima, Jumamosi 9/4/2016
Pia hali hiyo imeenda sambamba na mahitaji ya mafuta ya kulainisha nyeti za kike pamoja na dawa za kukuza makalio kwa wale dada zetu wa mjini.
Source:Tanzania Daima, Jumamosi 9/4/2016