Mtoto wa Malaya
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 202
- 156
Kuna jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi moja amepatwa na tukio ambalo mpaka Sasa limemuacha kwenye wakati mgumu kiasi cha kumfanya ajihisi kuchanganyikiwa.
Ni hivi ana mahusiano na mdada flani hivi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu
Sasa mwaka jana mwezi wa 7 mdada akawa amemuaga jamaa kuwa anaenda mkoani Mbeya kikazi (maana ni mwajiriwa wa KAMPUNI)
Sasa tangu aondoke mawasiliano yalikatika nadhani kuna kipindi walizinguana kama ujuavyo mapenzi ya mbali.
Ghafla last week mdada yule amerudi akaja mpaka kazini kumtafuta mshkaji wakaongea mengi ila mwisho walikubariana kuonana weekend jioni ambapo jana ndo mshkaji amefanikiwa kutoka na mrembo huyo na ndio tatizo likatokea!
Ilikuwa hivi-
Jamaa alienda Lodge flani mitaa ya Mwenge akalipia chumba mida ya saa 1 jioni kisha akampigia mrembo akaja wakaingia room,
Jamaa anasema wakiwa katikati ya kupeana tunda mara ghafla binti alibadirika kama amepandisha mashetani akawa analia na kuongea vitu visivyoeleweka mara anamuuliza mshkaji "we nani? ,je hapa ni wapi? je nimefikaje hapa?
Na ikafika kipindi akawa anaweweseka na kuongea vitu vya ajabu,
Jamaa kuona hivyo akamvalisha nguo demu maana hakuweza hata kusimama alikuwa kama mtu aliyelewa pombe.
Jamaa kumaliza kumvalisha akamtoa nje akampakia kwenye gari mpaka mtaani kwao akamshusha getini kwao akasepa. Ilikuwa mida ya saa 6 usiku.
Sasa cha ajabu leo mchana demu anampigia simu mshkaji na kumuomba samahani Kwa kishindwa kuja jana jioni Jamaa anamsimulia demu kila kitu kilichojiri jana usiku lakini demu anashangaa na kusema jana usiku hakutoka nyumbani kabisa na aliwahi kulala maana alikuwa anajiskia vibaya!
Imebidi jamaa afuatilie nyumbani anapoishi demu kupeleleza kama ni kweli na anapoishi wanasema hivyo kwamba jana huyu binti alisema naumwa na ameingia chumbani kulala tangu saa 1jioni na hakuonekana kutoka tena.
Sasa kijana kachanganyikiwa hujui afanye nini.
Tumemshauri amuite demu twende naye pale lodge ili wahudumu waseme kama wamewahi kumuona cha ajabu muhudumu wa vyumbani anasema "huyu dada alikuja na huyu mkaka jana usiku nikawapa chumba wakalala mpaka saa 6 usiku wakatoka.
Hivyo inaonekana pengine mshkaji jana ametoka na jini lenye sura ya demu wake jamaa kachanganyikiwa hujui afanye nini.