Ingelikua wanaume wote wanatairiwa kama Wamasai ingekua raha sana kwa kweli

amanda cute

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
244
452
Ninavyosikia sikia ni kua wanaume wa Kikurya na Wamasai hutairiwa bila ganzi haaaa! Kwa kweli hata kwenye ujasiri ni wajasiri ni wanaume wa shoka tofauti na wale wavulana wa Dar wanashindia baga na chipsy mayai na kuishia vijiweni tuu na faragha wanakua walaini hivyo hivyo.

Ila kwa kweli kuacha Wakurya hawa kabila la Wamasai khaa! Wanatairiwa vizuri kwa kweli kwa ile ngozi inaachwa pale kwa chini mhhh! Kusema ukweli inaongeza mambo flani barabara nawapongeza sana wanaume wa kimasai kwa kweli khaa! Sijui nilikua wapi muda wote.
 
navyosikia sikia ni kua wanaume wa kikurya na wamasai hutairiwa bila ganzi ..haaa kwa kweli ata kwenye ujasiri ni wajasiri ni wanaume wa shoka tofauti na wale wavulana wa dar wanashindia baga na chipsy mayai na kuishia vijiweni tuu na faragha wanakua walaini hivyo hivyo ...ila kwa kweli kuacha wakurya hawa kabila la wamasai khaa wanatairiwa vizuri kwa kweli kwa ile ngozi inaachwa pale kwa chini mhhh kusema ukweli inaongeza mambo flani barabara nawapongeza sana wanaume wa kimasai kwa kweli khaaaaaaaaaaaa sijui nilikua wapi muda wote...
SORRY nimekosea mlango
 
Na kukeketwa nako inasaidia kuwafanya ngangari kidogo. Msiwe wa kylia lia kila siku.. Serikali ingeruhusu tu.
 
Mkuu nilianza kuwazimia morani long time kitambo, licha ya kutahiriwa, wanaacha vitu vikue kwa nguvu ya force of gravity, hawakuathirika na pichu za VIP, wale mliokuwepo enzi za mzee Ruksa kuruhusu biashara huria mtazikumbuka hizo.
 
we aliekuambia wamasai na wakurya ndyo wanatairiwa bila ganzi peke yao ni nani?? kuna tofauti kubwa kati ya jandoni na hospital tuulize sisi tuliokwenda jandoni Shabbash...!!
 
Mkuu nilianza kuwazimia morani long time kitambo, licha ya kutahiriwa, wanaacha vitu vikue kwa nguvu ya force of gravity, hawakuathirika na chupi za VIP, wale mliokuwepo enzi za mzee Ruksa kuruhusu biashara huria mtazikumbuka hizo.
haaaaaa ulishatoka na mmoja? kile kidude wanaacha chini ni cha maana tuu kinaraha yake pia wana kitu cha haja .
 
Maelezo yaliyojaa uzushi tupu, kama Ngozi ingekuwa inanogesha basi makabila yenye mila iyotaili si ndo wangewanogesha zaidi, mimi MSUKUMA bana. Na ninanogesha kama kawa, halafu Dar ndo wanajua kuliko wa shamba
 
Back
Top Bottom